Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tuna shukuru ijaweza kufanikiwa hapa ila imebakisha chembe chembe mambo mengine ya utawala kwa nchi za africa.
Ukifatilia sera za ujamaa ni kama kikundi cha watu wanaofaidika wao na sio wananchi.
Ukifatilia sera za ujamaa unaona kiongozi hata kama kawa kichaa,mkatili,mwenye afya ya akili mtakubari anachotaka.
Sera za ujamaa hazikuwa na biashara ila mnazalisha na kugawana.
Sera za ujamaa ziliwaza ukatili na maisha kama ya gerezani.
Kama mnakumbuka ilifikia ujerumani upande wa ujamaa walitoroka wengi.
Sera za ujamaa ni maisha ya kukatisha tamaa na ndoto.Miaka ya nyuma china ilifata sana ujamaa kama huu.mwisho wa siku walishtuka lakini umebaki kwenye serikali.
Swali linakuja ?.
Nyerere mwisho wa siku kwa nini alijiondoa na kujutia sana.