Unazifahamu sifa za kufundisha chuo kikuu? Tafuta hizo sifa uone kama unazo. Nijuavyo kufundisha ngazi ya sekondary au chuo cha kati siyo mojawapo ya sifa za msingi za kufundisha chuo kikuuWatu upgrade sisi walimu wa sekondari twende kufundisha vyuo vya kati na vyuo vya kati wawe wanapanda waende kufundisha vyuo vikuu.
Ubarikiwe wewe ambae yako inanukia umepewa nafasiMbona wewe hukupewa hiyo zawadi?
Au papuchi yako inanuka wakakuweka kapuni?
Unajitolea ukiwa na uwezo wa kujipandisha basi na kujilisha mchana 😂😂😂!!!Mbona kuna ofisi nyingi watu wanajitolea kufanya kazi ili kujiongezea umahili wa vitendo.Shida kama mnawaza kupiga pesa haraka haraka mtashindwa kupractise.
You have a point brother! Sababu mie pia nimeenda fields mbili tofauti ila hakuna cha ajabu nilichojifunza! Zaidi niliishia kufanya kazi ya data entry tu kipindi natafta diploma ya IT na hapo ni TRA kikubwa tu niliasista kwenye installation ya kompyuta za Tancis zile!Tatizo hamuelewi
Hao wanajikita sana kwenye research ya kila aina ya fani husika tofauti na huyo anaye practize ofisini.Maofisini kuna specialization kubwa.Mtu anafanya kakitu kamoja tu kadogo na jina anapewa kubwa mno hajui kwa upana field yote
Mfano mdogo unakuta ofisi zimejaa wahasibu lakini kaangalie wanachofanya unamkuta mwingine kazi yake miaka 20 ni income accountant anashughulika na mapato tu ya serikali mwingine ni expenditure accountant miaka nenda rudi na mwingine ni payroll accountant miaka nenda rudi huyo ukipeleka chuo kikuu ataenda kufundisha nini?
Haya unaenda kukutana na afisa biashara kasoma ana digrii mbili za biashara yuko serikalini miaka 20 kazi yake kutoa leseni za biashara chuo kikuu ukimpeleka ataenda kufundisha nini ?
Kuna mwingine unakuta ni Afisa masoko kazi yake kupeleka matangazo kwenye vipindi vya redio na television chuo kikuu ukimpeleka ataenda kufundisha nini?
Elimu yetu sehemu kubwa ni theory, na walimu wetu ambao nao ni zao la theory wanafundisha bila hata ku-practice field husika, halafu eti tunatarajia tuweze kuwa na wahitumu wenye viwango! Itawezekana kweli?
Na ndiyo maana mtu anaajairiwa akiwa tutorial Assistant, na hapa hafundishi kabisa Bali anawasaidia tu ma lecture huku akijifunza. Then ataenda masters ambapo atajifunza zaidi kuhusu fani yake na kufanya utafiti, lakini pia ili awe lecture ataongeza PhD. So mpaka kufika huku kashaivaUnajua mtu analeta hoja bila kutafakari. Wale vijana wanabakizwa ili wafundishe Chuo Kikikuu. Sasa huko mtaani kuna Chuo Kikuu kipi cha kufanyia mazoezi ya ku-practice field yake ndipo arudi Chuo Kikuu kufundisha? Yaani huo uzoefu wa Kufundisha Chuo Kikuu ataupata wapi kama siyo hapo hapo Chuo Kikuu. Yeye anafikiri hao maprofessor wazoefu walikuwa waki-practice fields zao mitaani ndipo wakarudi Chuoni Kufundisha. Hii siyo kweli. Kwanza wakibakizwa kwenye fields zao kuna wazoefu wanaowalea kwanza (mentorship) kwenye fields zao kabla ya kuingia darasani kufundisha. Wanaanza kwa kuzoezwa kusimamia seminars kisha wanaendelezwa zaidi kitaaluma ndipo wanaanza kufundisha. na somo moja wanaweza kufundisha wazoefu na wapya. Ni utaratibu mzuri kabisa huu wa kuzoea mazingira ya kazi badala ya kuwaleta eti wa mitaani walio-practice fields zao. Ku-practice field yako mtaani ni tofauti na kufundisha chuo kikuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu upgrade sisi walimu wa sekondari twende kufundisha vyuo vya kati na vyuo vya kati wawe wanapanda waende kufundisha vyuo vikuu.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] hapa ndipo watu wanatafutaga sababu ili impe favor yeye.Mleta mada ana PhD ila GPA zake kuanzia undergraduate sio nzuri. Ila mleta mada ana experience kwenye field yake. Mleta mada anapenda kazi ya kufundisha.
Una wazo zuri ila kutekelezeka ndio ngumu hasa katika nchi za Africa.Kama ningewashauri serikali namna ya kuleta mageuzi katika elimu ya vyuo vikuu ningewaambia wafate model inayofanyika huko kwa vyuo vikuu vilivyotangulia. Kwenye hivyo vyuo vikuu waalimu wa vyuo vikuu hawaajiriwi kama njugu. Mwalimu wa Chuo Kikuu anapaswa awe mtu mkubwa sana, ili aitendee haki ile nafasi yake.
Wenzetu wanafanya hivi: kwa mfumo wa Western Universities na hata Easten huko Uchina, Japan, South Korea, Singapore, Indonesia, waalimu wa vyuo vikuu wanaitwa PIs (Principal Investigators). Principal Investigators ndio viini vya taaluma za vyuoni. Wanawajibika katika kuanzisha research agenda, kutengeneza research teams, kuattract research funding, kuhire research assistants kama postdocs na tecnicians, kurecruit PhD na Master students. Na kwa vile hawa watu watahitaji budget kubwa pale vyuo vinapotaka kuwaajiri hawaajiriwi kama njugu. Ni lazima itengwe initial budget ya kutosha kuajiri PI (wao wanaita seed funding) ili baadaye aweze kukiingizia chuo fedha zaidi kupitia grants atakazoattract. Department moja ya kitaaluma inaweza kuwa na PI 12 tu, halafu staff waliobaki ndani ya department wanafanya kazi chini ya hao PIs kwenye supporting roles. Ni ka mfumo ka ubepari vyuoni, lakini kako effective.
Hapa kwetu tunafanya tofauti. Mtu anaajiriwa kuanzia tutorial assistant (degree moja) hadi PhD. Wote hawa wanaajiriwa kupitia mfumo wa kawaida wa ajira serikalini. Akifika pale chuoni kama mwajiriwa mpya atapewa ofisi tu na courses atakazofundisha. Huyu mtu anatofauti gani na mwalimu wa sekondari? Wale tutorial assistants wataambiwa waende shule kwanza wapate masters. Ni utoto yaani, maana katika hiyo model hauwezi kupata excellence. Kama tunataka mabadiliko katika vyuo vyetu vikuu ni lazima mapinduzi yafanyike katika namna chuo kinavyoajiri wanataaluma wake. Lazima waajiriwe wanataaluma wachache wenye sifa na ubora wa juu kulingana na malengo ya chuo, lakini watakaowezeshwa vya kutosha ili wakiletee chuo tija katika malengo ya uwepo wa chuo hicho. Wenye sifa hizo wanaweza kupatikana kupitia uzoefu wao ndani na hata nje ya nchi.
Kwani mwaka jana kulikuwa na uchaguzi?Salary slip ni juha sana.
Tangu uchaguzi wa mwaka jana amewehuka.
Hoja ina mashiko tatizo ktk hizo field kunakuwa na shida ya ajira.Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao hawaja-practice katika field wanazofundisha na hivyo kuzalisha wasomi wenye kukosa maarifa na uzoefu kutoka kwa watu waliofanya kazi kwenye field husika.
Utaratibu huu ulifaa miaka ya nyuma ambapo wasomi walikuwa ni wachache lakini sio leo hii ambapo wasomi ni wengi wakiwemo waliofanya kazi katika field husika.
Mtu ambae amemaliza chuo na kupata first class kisha akaunganisha masters na baadae PhD ila hajafanya kazi katika field husika, sidhani kama anaweza kuwa mwalimu mzuri zaidi ya kubobea kwenye theory tu.
Pamoja na uwepo wa mafunzo kwa vitendo baada ya theory za darasani wakati wa likizo, bado kuna umuhimu mkubwa wa taaluma katika vyuo vyetu kutolewa na watu wenye sifa na moja ya sifa ya ziada ila muhimu ni walimu wawe walau wamefanya kazi katika field wanayofundisha.
Najua kwa baadhi ya field inaweza kuwa ni changamoto kupata na kuajiri wataalamu /wasomi wa kufundishia walioko katika field, ila vyuo bado vinaweza kutenga muda wa wataalamu hawa kuja kutoa mihadhara kwa utaratibu wa part- time vyuoni.
Tukikubali kutazama upya utaratibu huu na kuufanyia marekebisho kadri inavyowezekana, bila shaka tutakuwa na nafasi ya kuzalisha wasomi wazuri wanaoweza kushindana na wasomi kutoka katika mataifa mengine katika soko la ajira na hata katika kujiajiri.
Elimu yetu sehemu kubwa ni theory, na walimu wetu ambao nao ni zao la theory wanafundisha bila hata ku-practice field husika, halafu eti tunatarajia tuweze kuwa na wahitumu wenye viwango! Itawezekana kweli?
Tujitafakari.
Inawezekana kabisa ndugu regardless una gpa ya 3.8 undergraduate na 4.0 masters degree.Watu upgrade sisi walimu wa sekondari twende kufundisha vyuo vya kati na vyuo vya kati wawe wanapanda waende kufundisha vyuo vikuu.
Ni vile tu watanzania hatupendi kubadilisha mifumo tuliyoizoea, na tunapenda kuishi kwenye comfort zones zetu. Tukipata kiongozi hata wa ngazi ya wizara mwenye maono na elimu ya juu na mwenye uthubutu kuubadlisha mfumo wa kitaaluma vyuo vikuu si ngumu kivile. Ni suala la kibajeti, pamoja na ushirikishwaji wa diaspora pamoja na watanzania wenye sifa waliomo nchini. Kuna watu hapa Tanzania ni maPI tayari na wanaendesha tafiti zao kwa mfumo wenye tija. Kuna mtu mmoja Dr. Joseph Ndunguru, huyu ni mtaalamu wa molecular biology na biotechnology zamani alikuwa MARI (Mikocheni Agricultural Research Institute) na ni PI wa ukweli. Ila eti undergraduate hakuwa na GPA ya 3.8 hivyo hakidhi sifa za kuajiriwa chuo kikuu! Utoto tu. Na bado kuna watanzania wa kutosha walio maPI huko nje ya nchi.Una wazo zuri ila kutekelezeka ndio ngumu hasa katika nchi za Africa.
Tangaza leo kazi ya chemical engineer mwenye PhD kama utapata.
Labda useme serikali ianzishe center of excellence moja halafu ichukue watafiti kokote kule duniani iwajaze hapo kitu ambacho pia haiwezi sababu haitaweza hata kuwalipa vizuri.
Ni bora tuendelee na mfumo huu huu wa kuajiri juniors halafu wakasome. Pia huo mfumo wa kubakiza kwa sasa haupo ajira huwa zinatangazwa na huyo mwenye GPA kubwa ashindane na wenzake.
Watu hawajui hata maana ya uchaguzi. Hivi kweli kilichofanyika mwaka jana nacho ni uchaguzi? Jamani! Kwani akili zenu zimeenda wapi? Ule hauna sifa ya kuitwa uchaguzi.Kwani mwaka jana kulikuwa na uchaguzi?
Kwa hiyo Prof kabudi ni sawa na judge sinde warioba au judge Julie, hutakuta mahali wamehukumu Kesi ila title zao ni kubwaProf Kabudi ni wakili ambaye hajawahi kufanya shughuli za uwakili, lakini Dr Mwakyembe amefanya sana shughuli za uwakili miaka ya 90's hadi 2000's mwanzoni: Hawa wote wawili ni wanasheria wazuri sana.
Tatizo kubwa ambalo linaikumba nchi yetu ni tabia ya kuchanganya utaalamu na siasa za kujikomba kwa watawala (Intellectual Sycophancy) ambalo limewakumba wanazuoni wetu wengi. Tukifanikiwa kutenganisha siasa na utaalamu naamini tutafika mbali sana...
Warioba amekuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika mashariki na Mahakama ya Kimataifa ya mipaka ya bahari (Special Tribunal on the law of the sea). Ukisoma kesi za hizi mahakama mbili utaliona sana jina la Jaji Warioba. Lakini Warioba ana jina kubwa kwasababu amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania.Kwa hiyo Prof kabudi ni sawa na judge sinde warioba au judge Julie, hutakuta mahali wamehukumu Kesi ila title zao ni kubwa
Title ya ujudge, hata hivyo umetetea vyema learned counselWarioba amekuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika mashariki na Mahakama ya Kimataifa ya mipaka ya bahari (Special Tribunal on the law of the sea). Ukisoma kesi za hizi mahakama mbili utaliona sana jina la Jaji Warioba. Lakini Warioba ana jina kubwa kwasababu amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania.
Prof Kabudi yeye mbali na kuwa Corporate Counsel wa University of Dar-es-salaam, kufundisha na kuandaa machapisho mbalimbali: Hajawahi kufanya shughuli za uwakili sehemu yoyote ile kama wenzake wakina Rutinwa, Luoga na Fimbo.
Mkuu kwa sasa muongozo wa TCU ndiyo unafiatwa na vyuo vyote Tanzania. Nafasi hutangazwa na mwenye sifa huomba. Mambo yakubakizana yalikwisha. Vyuo hutangaza nafasi tofauti kuanzia tutorial assistant hadi full professor. Kila level ina qualification zake na kazi maalum ya kufanya. Waombaji hutoka nje ya chuo. Issue ni upatikanaji wa watu wenye sifa, je tunawatu wa kutosha?Kama ningewashauri serikali namna ya kuleta mageuzi katika elimu ya vyuo vikuu ningewaambia wafate model inayofanyika huko kwa vyuo vikuu vilivyotangulia. Kwenye hivyo vyuo vikuu waalimu wa vyuo vikuu hawaajiriwi kama njugu. Mwalimu wa Chuo Kikuu anapaswa awe mtu mkubwa sana, ili aitendee haki ile nafasi yake.
Wenzetu wanafanya hivi: kwa mfumo wa Western Universities na hata Easten huko Uchina, Japan, South Korea, Singapore, Indonesia, waalimu wa vyuo vikuu wanaitwa PIs (Principal Investigators). Principal Investigators ndio viini vya taaluma za vyuoni. Wanawajibika katika kuanzisha research agenda, kutengeneza research teams, kuattract research funding, kuhire research assistants kama postdocs na tecnicians, kurecruit PhD na Master students. Na kwa vile hawa watu watahitaji budget kubwa pale vyuo vinapotaka kuwaajiri hawaajiriwi kama njugu. Ni lazima itengwe initial budget ya kutosha kuajiri PI (wao wanaita seed funding) ili baadaye aweze kukiingizia chuo fedha zaidi kupitia grants atakazoattract. Department moja ya kitaaluma inaweza kuwa na PI 12 tu, halafu staff waliobaki ndani ya department wanafanya kazi chini ya hao PIs kwenye supporting roles. Ni ka mfumo ka ubepari vyuoni, lakini kako effective.
Hapa kwetu tunafanya tofauti. Mtu anaajiriwa kuanzia tutorial assistant (degree moja) hadi PhD. Wote hawa wanaajiriwa kupitia mfumo wa kawaida wa ajira serikalini. Akifika pale chuoni kama mwajiriwa mpya atapewa ofisi tu na courses atakazofundisha. Huyu mtu anatofauti gani na mwalimu wa sekondari? Wale tutorial assistants wataambiwa waende shule kwanza wapate masters. Ni utoto yaani, maana katika hiyo model hauwezi kupata excellence. Kama tunataka mabadiliko katika vyuo vyetu vikuu ni lazima mapinduzi yafanyike katika namna chuo kinavyoajiri wanataaluma wake. Lazima waajiriwe wanataaluma wachache wenye sifa na ubora wa juu kulingana na malengo ya chuo, lakini watakaowezeshwa vya kutosha ili wakiletee chuo tija katika malengo ya uwepo wa chuo hicho. Wenye sifa hizo wanaweza kupatikana kupitia uzoefu wao ndani na hata nje ya nchi.
P