Uchaguzi 2020 Sera za CCM zinavyotanganzwa na Rais Magufuli

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na hatimaye kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja .

Na hapo ndipo watu wengi hawamuelewi wanao na kama hawagusi na kawasahau katika maisha yao kama mshahara, bei za vyakula nk

Ni kweli tutapokuwa na mawasiliano bora,miundo mbinu bora katika elimu, afya na mabarabara/madaraja. Nishati na Madini, pato kubwa kwenye utalii hakika hivi ni viashiri vya kukuza uchumi wa taifa na matokeo yake ni kukua kwa uchumi wananchi wote.
 
Uchumi utakua ,thamani ya pesa yetu itaaongezeka na hata thamani ya kipato itakuwa juu hivyo haya malaki kama mshahara yatakuwa na maana tusipiganie kuongezwa mshahara kwa tarakimu tu bila kuinua/kukuza uchumi
 
Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na hatimaye kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja .

Na hapo ndipo watu wengi hawamuelewi wanao na kama hawagusi na kawasahau katika maisha yao kama mshahara, bei za vyakula nk

Ni kweli tutapokuwa na mawasiliano bora,miundo mbinu bora katika elimu, afya na mabarabara/madaraja. Nishati na Madini, pato kubwa kwenye utalii hakika hivi ni viashiri vya kukuza uchumi wa taifa na matokeo yake ni kukua kwa uchumi wananchi wote.
Shatabu
 
Magufuli kaingia mkenge,na hataki kuona hilo.
Hakuna siku utamaliza mahitaji ya miundo mbinu ndio uje kupandisha nyongeza ya mishahara,na kuongeza ajira,NEVER.
Miundo mbinu na ustawi wa mwananchi ni endelevu.
Vyote ni muhimu kwa wakati mmoja ndio sababu tulikuwa na 5 years plan.
Hizo mega project anazojenga ni muhimu sana lakini angefanya one at a time kulingana na uwezo wa taifa letu.
Lakini unapokuwa una upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa ya shule na upungufu mkubwa wa walimu wakati kuna maelfu ya walimu wahitimu wako mitaani hawana ajira unatengeneza taifa la wajinga na maskini.

Na siku hizi kuna dhuluma kwa baadhi ya walimu eti kujitolea bure kufundisha miaka mitatu ndio eti atafikiriwa kuajiriwa !!!
Kwanini tusipunguze marupurupu na mishahara ya wabunge kwa asili mia 60 ili pesa ziende kuajiri walimu wa kutosha?
Ili litapunguza rushwa ya kukimbilia kazi ya ubunge huku wakienda bungeni kutamka NDIOO kama programmed Robots
Haya marupurupu makubwa ya wabunge yametumika kama hongo ya kupitisha miswaada ya serikali.
 
Hizo mega project anazojenga ni muhimu sana lakini angefanya one at time kulingana na uwezo wa taifa letu.

Nimependa mjadala wako kuhusu walimu na mshahara mikubwa ya wabunge kuligana kazi wanazofanya
 
Washauri wa magufuli sijui Kama wanauwezo wa kuchambua namna hii

Ni wajinga sana
 
kwa hiyo mishahara isiongezwe mpaka uchumi uwe mkubwa, karne gani.
Yaani na maisha yalivyo mafupi, huku Covid -19 huku malaria etc alafu tusubiri macro economy tuna mkataba na maisha any time tutakuwa mahayati.
Waliosota na kusaga meno kusubiri macro economy?
 
Anasema akipewa ridhaa atawatengenezea ajira 8,000,000 Watanzania, hii si ni sawa na 500000TZS kwa kila kijiji?
Uongo mtupu, miaka 5 viwanda hewa 4000, hizo ajira 8,000,000 zitatoka wapi.
 
Kasema yeye mwenyewe jana Dodoma wakati wa uzinduzi mtu mzima haongopi ila anasema anapiga propaganda 🤣
 
Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na hatimaye kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja .

Na hapo ndipo watu wengi hawamuelewi wanao na kama hawagusi na kawasahau katika maisha yao kama mshahara, bei za vyakula nk

Ni kweli tutapokuwa na mawasiliano bora,miundo mbinu bora katika elimu, afya na mabarabara/madaraja. Nishati na Madini, pato kubwa kwenye utalii hakika hivi ni viashiri vya kukuza uchumi wa taifa na matokeo yake ni kukua kwa uchumi wananchi wote.

Mkuu umekurupuka kuandika Ova ulikua unakata Gogo huku unakimbizwa na Mtutu
 
Magufuli kaingia mkenge,na hataki kuona hilo.
Hakuna siku utamaliza mahitaji ya miundo mbinu ndio uje kupandisha nyongeza ya mishahara,na kuongeza ajira,NEVER.
Miundo mbinu na ustawi wa mwananchi ni endelevu.
Vyote ni muhimu kwa wakati mmoja ndio sababu tulikuwa na 5 years plan.
Hizo mega project anazojenga ni muhimu sana lakini angefanya one at a time kulingana na uwezo wa taifa letu.
Lakini unapokuwa una upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa ya shule na upungufu mkubwa wa walimu wakati kuna maelfu ya walimu wahitimu wako mitaani hawana ajira unatengeneza taifa la wajinga na maskini.

Na siku hizi kuna dhuluma kwa baadhi ya walimu eti kujitolea bure kufundisha miaka mitatu ndio eti atafikiriwa kuajiriwa !!!
Kwanini tusipunguze marupurupu na mishahara ya wabunge kwa asili mia 60 ili pesa ziende kuajiri walimu wa kutosha?
Ili litapunguza rushwa ya kukimbilia kazi ya ubunge huku wakienda bungeni kutamka NDIOO kama programmed Robots
Haya marupurupu makubwa ya wabunge yametumika kama hongo ya kupitisha miswaada ya serikali.
You nailed it [emoji122][emoji123]
 
Anasema akipewa ridhaa atawatengenezea ajira 8,000,000 Watanzania, hii si ni sawa na 500000TZS kwa kila kijiji?
Tatizo watanzania wanaoweza kulijua hilo ni wachache. Tatizo ni elimu.
 
Yaani na maisha yalivyo mafupi, huku Covid -19 huku malaria etc alafu tusubiri macro economy tuna mkataba na maisha any time tutakuwa mahayati.
Waliosota na kusaga meno kusubiri macro economy?
Afadhari uzikwe ukiwa hayati, maana hayati anazikwa kwa heshima kubwa. Sasa uzikwe ukiwa marehemu.... Vijana kadhaa wakiwa wamelewa pombe ya kienyeji (mataptap) wanatangulia ndani ya kaburi kupokea jeneza, huku wakiwauliza walio juu ya kaburi, kichwa kiko upande gani, ili jeneza lishushwe kwa uelekeo sahihi.
Nadhani unajua namna jeneza la hayati linavyoshushwa.
 
Back
Top Bottom