Nafikiri ninamuelewa Rais Magufuli katika kutangaza Sera ya CCM anazingatia zaidi kwenye 'macroeconomics' ndio maana anashughulika na viashiria vikubwa vya kujenga uchumi wetu ili kuinua uchumi na hatimaye kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja .
Na hapo ndipo watu wengi hawamuelewi wanao na kama hawagusi na kawasahau katika maisha yao kama mshahara, bei za vyakula nk
Ni kweli tutapokuwa na mawasiliano bora,miundo mbinu bora katika elimu, afya na mabarabara/madaraja. Nishati na Madini, pato kubwa kwenye utalii hakika hivi ni viashiri vya kukuza uchumi wa taifa na matokeo yake ni kukua kwa uchumi wananchi wote.