Uchaguzi 2020 Sera za Mgombea wa CCM ni ngumu kumeza

Uchaguzi 2020 Sera za Mgombea wa CCM ni ngumu kumeza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20200902-225414_Chrome.jpg
Screenshot_20200902-230044_Chrome.jpg

Ziko nyingi tu. Hiyo hapo juu ni mfano. Nafikiri Magufuli ana mengi sana ya kuzungumza yale aliyoyafanya kwa miaka mitano.

Hizi kauli anazotoa sio hadhi yake kama rais. Kama ana tatizo la kujieleza basi sawaaaa
 
Sasa aongee nn asa wakat kila kitu kinajieleza , in short mwamba anafanya utalii Tu na kuchekesha watu, ..... Anajua sanduk la kura litazima kelele za wahuni ...
 
Ni kweli Lissu hadhi yake ni kuwa Mkuu wa wilaya tu
 
That old man has a very static Mind! Don't know why he keep on telling us the same tales each and everyday..our ears are really getting tired for sure! We need new things apart from shitty SGR's, Stiglers, and the like blah Blah's!..We want to hear how he can reduce unmployment, poverty, income inequality, also to increase people's ability especially traders to run/maintain their businesses...Give them Info's, we believe in TAL !!!
 
Ni kweli lissu hadhi yake ni kuwa Mkuu wa wilaya tu
Shida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Membe ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Magufuli ni KATIBA MPYA na masuala mengine ambayo yamekosa majibu kama shambulizi la Lissu;

NIMCHAGUE NANI? Sitaki niache kuitumia HAKI yangu hii.
 
That old man has a very static Mind! Don't know why he keep on telling us the same tales each and everyday..our ears are really getting tired for sure! We need new things apart from shitty SGR's, Stiglers, and the like blah Blah's!..We want to hear how he can reduce unmployment, poverty, income inequality, also to increase people's ability especially traders to run/maintain their businesses...Give them Info's, we believe in TAL !!!
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
 
Shida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Membe ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Magufuli ni KATIBA MPYA na masuala mengine ambayo yamekosa majibu kama shambulizi la Lissu;

NIMCHAGUE NANI? Sitaki niache kuitumia HAKI yangu hii.
Mchague lissu
 
View attachment 1556947
View attachment 1556958
Ziko nyingi tu. Hiyo hapo juu ni mfano. Nafikiri Magufuli ana mengi sana ya kuzungumza yale aliyoyafanya kwa miaka mitano.

Hizi kauli anazotoa sio hadhi yake kama rais. Kama ana tatizo la kujieleza basi sawaaaa
Cult ya UCCM haina tofauti sana na cult ya Ufrimeso... mtu ukitaka kuwa na mafanikio bila kunyanyaswa na bugudha TZ lazima uiabudu CCM na zaidi umtukuze Mwenyekiti wake wa Taifa (hata safi zingine za uongozi). Ndio maana tunajenga Taifa la wapumbavu, wanyonge na masikini!
 
Hiyo kauli iliyomgusa lissu ni utani wa kisiasa tu sema vichwa maji ndo huwa wagumu kuelewa!.. mbona hamlisemelei la yule kiumbe wa kawe kumuita mgombea mwenzake mrembo! Nawakati ni jinsia ya kiume!

Muda wa kampeni kama huu huwa Kuna kurushiana tu maneno maneno haswa mengi yao huwa si serious.. usitumie nguvu kubwa kuelewa kitu kidogo utaumia bure.
 
Hata Lissu kajibu kiutani
 
Ilikuwa juzi na hatimaye imefika na awamu ijayo itafika na itapita pia sisi chamuimu tunanufaika na nini mda atakaokuwepo madalakani ? kuusu maneno yake sizani kama yanautata
Yupi sahihi kwako ? Akili kichwani mwako[emoji848]
 
Hata Lissu kajibu kiutani
Mkuu mkitaka mpoteze muda wenu fatilieni hizo kauli za wanasiasa wakati huu mtapagawa tu!.. tumieni nguvu kubwa kuelewa mambo madogo mtaujutia muda wenu bure.. mwisho wasiku ndo kama mnavyoambiwa kuna maisha baada ya uchaguzi!.. na wanakomaza misuli wakomaze tu lkn but wajue wanamaliza nguvu zao bure kabisa.. watu na mielimu Yao wanashindwa kuelewa kauli za namna hizo si kitu wanashindwa hata na watu waliovijijini huko wanajilimia tu hawana time na kauli za watu!!..
 
Siasa imevamiwa na wababe wa kubomoa misingi ya kuheshimiana na kutunza maadili
 
Ukweli ni kwamba Mafisadi na Ufisadi ni hati miliki na mfumo wa CCM. Ni CCM pekee imeongoza Tanzania na ni katika “Utawala” wake ufisadi umepora mali, hazina na haki ya WaTZ. Sasa kulinda Ufisadi tunapewa maigizo na mazingaombwe.. pap tuna fedha zetu wenyewe kununua ndege
 
Eti Magufuli anatuambia “nataka Tanzania iwe kama ulaya”? Yaani unataka Tanzania iwe kama kwa mabeberu au Watanzania wenyewe wawe mabeberu?
 
Back
Top Bottom