Uchaguzi 2020 Sera za Mgombea wa CCM ni ngumu kumeza

Uchaguzi 2020 Sera za Mgombea wa CCM ni ngumu kumeza

Mkuu mkitaka mpoteze muda wenu fatilieni hizo kauli za wanasiasa wakati huu mtapagawa tu!.. tumieni nguvu kubwa kuelewa mambo madogo mtaujutia muda wenu bure.. mwisho wasiku ndo kama mnavyoambiwa kuna maisha baada ya uchaguzi!.. na wanakomaza misuli wakomaze tu lkn but wajue wanamaliza nguvu zao bure kabisa.. watu na mielimu Yao wanashindwa kuelewa kauli za namna hizo si kitu wanashindwa hata na watu waliovijijini huko wanajilimia tu hawana time na kauli za watu!!..
Sasa wewe humu unafata nini na kauli hizo hizo unazifatilia mpaka una comment.
 
Shida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Membe ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Magufuli ni KATIBA MPYA na masuala mengine ambayo yamekosa majibu kama shambulizi la Lissu;

NIMCHAGUE NANI? Sitaki niache kuitumia HAKI yangu hii.
Mchague Lissu atajayetoa wigo wa wewe kijadili nini unataka kama mwananchi. Wengine hapo wameshapanga kwenda kubadili katiba watawale miaka 100.
 
Shida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Membe ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Magufuli ni KATIBA MPYA na m gasuala mengine ambayo yamekosa majibu kama shambulizi la Lissu;

NIMCHAGUE NANI? Sitaki niache kuitumia HAKI yangu hii.
Wewe na muungano wapi na wapi? Sawa na Bwege anawauliza watu wa Lindi kuwa wao na ndege wapi na wapi?
 
Ni aibu kubwa sana !

TL apunguze kuongea habari za sheria... Raia hawaitaji kusikia mapungufu ya Sheria za jeshi la akiba... Kidogo labda angeongea kasoro ya Sheria za habari, uchaguzi, uanzishwaji wa tume ya uchaguzi...

Wananchi hawajui Sheria na wanaona hazina tija kwao Hadi ziwaguse pale zinapokiukwa...

Aongee atafanya nn ktk sheria hizo sio kukosoa tu..
 
Back
Top Bottom