OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;Ni kweli lissu hadhi yake ni kuwa Mkuu wa wilaya tu
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]That old man has a very static Mind! Don't know why he keep on telling us the same tales each and everyday..our ears are really getting tired for sure! We need new things apart from shitty SGR's, Stiglers, and the like blah Blah's!..We want to hear how he can reduce unmployment, poverty, income inequality, also to increase people's ability especially traders to run/maintain their businesses...Give them Info's, we believe in TAL !!!
Mchague lissuShida yangu kwa Mgombea Lissu ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Membe ni MUUNGANO;
Shida yangu kwa Mgombea Magufuli ni KATIBA MPYA na masuala mengine ambayo yamekosa majibu kama shambulizi la Lissu;
NIMCHAGUE NANI? Sitaki niache kuitumia HAKI yangu hii.
Cult ya UCCM haina tofauti sana na cult ya Ufrimeso... mtu ukitaka kuwa na mafanikio bila kunyanyaswa na bugudha TZ lazima uiabudu CCM na zaidi umtukuze Mwenyekiti wake wa Taifa (hata safi zingine za uongozi). Ndio maana tunajenga Taifa la wapumbavu, wanyonge na masikini!View attachment 1556947
View attachment 1556958
Ziko nyingi tu. Hiyo hapo juu ni mfano. Nafikiri Magufuli ana mengi sana ya kuzungumza yale aliyoyafanya kwa miaka mitano.
Hizi kauli anazotoa sio hadhi yake kama rais. Kama ana tatizo la kujieleza basi sawaaaa
Jibu hojaMchague lissu
Hata Lissu kajibu kiutaniHiyo kauli iliyomgusa lissu ni utani wa kisiasa tu sema vichwa maji ndo huwa wagumu kuelewa!.. mbona hamlisemelei la yule kiumbe wa kawe kumuita mgombea mwenzake mrembo! Nawakati ni jinsia ya kiume!
Muda wa kampeni kama huu huwa Kuna kurushiana tu maneno maneno haswa mengi yao huwa si serious.. usitumie nguvu kubwa kuelewa kitu kidogo utaumia bure.
Ni aibu kubwa sana !Huyu rais wetu anawaza ngono masaa yote
Jipu jipya in town
Mkuu mkitaka mpoteze muda wenu fatilieni hizo kauli za wanasiasa wakati huu mtapagawa tu!.. tumieni nguvu kubwa kuelewa mambo madogo mtaujutia muda wenu bure.. mwisho wasiku ndo kama mnavyoambiwa kuna maisha baada ya uchaguzi!.. na wanakomaza misuli wakomaze tu lkn but wajue wanamaliza nguvu zao bure kabisa.. watu na mielimu Yao wanashindwa kuelewa kauli za namna hizo si kitu wanashindwa hata na watu waliovijijini huko wanajilimia tu hawana time na kauli za watu!!..Hata Lissu kajibu kiutani
Hana cha kuongea nyimbo za SGR na stigler zimeshachuja.View attachment 1556947
View attachment 1556958
Ziko nyingi tu. Hiyo hapo juu ni mfano. Nafikiri Magufuli ana mengi sana ya kuzungumza yale aliyoyafanya kwa miaka mitano.
Hizi kauli anazotoa sio hadhi yake kama rais. Kama ana tatizo la kujieleza basi sawaaaa