Uchaguzi 2020 Sera za Mgombea wa CCM ni ngumu kumeza

Sasa wewe humu unafata nini na kauli hizo hizo unazifatilia mpaka una comment.
 
Mchague Lissu atajayetoa wigo wa wewe kijadili nini unataka kama mwananchi. Wengine hapo wameshapanga kwenda kubadili katiba watawale miaka 100.
 
Wewe na muungano wapi na wapi? Sawa na Bwege anawauliza watu wa Lindi kuwa wao na ndege wapi na wapi?
 
Ni aibu kubwa sana !

TL apunguze kuongea habari za sheria... Raia hawaitaji kusikia mapungufu ya Sheria za jeshi la akiba... Kidogo labda angeongea kasoro ya Sheria za habari, uchaguzi, uanzishwaji wa tume ya uchaguzi...

Wananchi hawajui Sheria na wanaona hazina tija kwao Hadi ziwaguse pale zinapokiukwa...

Aongee atafanya nn ktk sheria hizo sio kukosoa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…