Seran nakupenda, njoo tuyajenge

You nailed it...!
 
Nimekujibu tu wewe mkuu maana unalalamika sana kama unaonewa

Tofautisha kula kimasikhara na aina hii ya nyuzi maana huu Uzi wa ishirini anafunguliwa mtu mmoja na pia ni vitu vinavyoweza kuongelewa pm huko
Sasa unaona wivu mwanamke akifunguliwa Uzi? Serious unakuwa envious Kwa mwanamke au seva za jamiiforums ziko geto kwako kwamba kitajaa?
 
Vocha yangu ilikuwa inaishia Phonerotica tu😁😁
 
Laiti ungejua wengine kazi tunazofanya usingesema haya kazi zinazotumua akili ni very tiresome acha bongo zetu zitulie tupatapo muda nyie mnaotumia kazi za nguvu mkilala na mwili unapata relief.
 
Humu mmekuja kuwaje, unampendaje mtu usimfahamu hata sura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…