Seran nakupenda, njoo tuyajenge

Kadiri siku zinavyokwenda mbele,
Naweza kujikuta nimebaki peke yangu tu ndiye mtu ambaye sijamfungulia uzi huyo seran.

Halafu unaweza kukuta huyo Seran ni dume na ana midevu kama Mpoki.
Kwa kweli kama mtu unafungua manyuzi ya aina hiyo ukikutana na hii hali ya kukuta huyo Seran ni dume na ana midevu kama Mpoki inabidi ukaoge Coco beach mchana wa jua kali kisha ubebe maji ya bahari kwenye kidumu cha tano ili uwe unakunywa robo lita kila siku asubuhi kuondoa hilo gundu.
 
Kwani ulivo mtongoza mara ya kwanza alijibuje😭😭😭
 
AI inachukua nafasi za akili halisi karibu kila maeneo....hili na janga.!!
 
Kumbuka uzuri wa mtu ni tabia.
Sura/umbo huzeeka ila tabia ni nadra sana kubadilika.
Huyu Seran kupitia mabandiko yake anaonesha ni humble na mwenye sifa nyingi za binadamu mwema.
Mimi ninatamani sana kumwona tu basi.
Ni muandiko tu hakuna lolote! Usitamani kabisa hutoipenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…