Seran nakupenda, njoo tuyajenge

Nimekujibu tu wewe mkuu maana unalalamika sana kama unaonewa

Tofautisha kula kimasikhara na aina hii ya nyuzi maana huu Uzi wa ishirini anafunguliwa mtu mmoja na pia ni vitu vinavyoweza kuongelewa pm huko
Bro huwezi mpangia mtu cha kufanya, mind your business bro, I'd yake, bando lake, simu au PC yake, waachie wenyewe, utaishi vizuri sana hapa duniani ila ukigeuka mshauri wa Nini watu wafanye, utapoteza heshima Yako Bure, huwenda wao wanajuana, wanatuchora tu, be care
 
Nilishapeleka kondoo wawili kama mahari, nangojea mwezi huu upite nichukue jiko
 
Safi sanaa Kuna ******* wanataka wapangie watu vyakupost hapa jukwaani..kwanza sisi wengine hatuna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…