Sasa kama huwezi kumpangia mtu tulia usipige kelele jukwaaniBro huwezi mpangia mtu cha kufanya, mind your business bro, I'd yake, bando lake, simu au PC yake, waachie wenyewe, utaishi vizuri sana hapa duniani ila ukigeuka mshauri wa Nini watu wafanye, utapoteza heshima Yako Bure, huwenda wao wanajuana, wanatuchora tu, be care
Wewe labda uchukue Jiko la mishikaki tu.Nilishapeleka kondoo wawili kama mahari, nangojea mwezi huu upite nichukue jiko
Kumbe ndio zenu?Safi sanaa Kuna ******* wanataka wapangie watu vyakupost hapa jukwaani..kwanza sisi wengine hatuna akili
Namchukua mzima mzimaWewe labda uchukue Jiko la mishikaki tu.
HahahaWewe labda uchukue Jiko la mishikaki tu.
Navipekunyua kwa maana ipi?Mtu wangu wa wapi tena jamani😁
Kwahiyo nlikuwa mnavipekenyua au ndio unaishia kula kwa macho?
Huyu kijana toka avune gunia 15 za mpunga basi anajiona kua anaweza kumpata mwanamke yeyote yule kwa kutumia huo mpunga wake.Hahaha
Hahaha kumbe anajeuri ya fedhaHuyu kijana toka avune gunia 15 za mpunga basi anajiona kua anaweza kumpata mwanamke yeyote yule kwa kutumia huo mpunga wake.
Oh,,ila ntafanya juhudi zote mpaka uache shada lamamaWaambe na sina mpango wa kuacha😘
Usiniuze pls, I still need u, uwanja unanilemea huu! Si ukiwatch ni 👉🏾 🫘 💦Navipekunyua kwa maana ipi?
Kula kwa macho kivipi sasa?
Nakuuza kwa bei rahisi ww umenishinda tabia!!!
Yani mnaonyesha mapenzi yenu kwenye uzi wa mtu anayedai kua Seran ni mkewe?Hahaha Seran hata akivuta fegi ni wangu me kumuacha labda nife😁
Umeanza🙄Oh,,ila ntafanya juhudi zote mpaka uache shada lamama
Utaacha tu taratibu uzuri unaniskilizaga nikikwambia kitu.Umeanza🙄