Serbia yatangaza dili nono la kuuziwa gesi kutoka Urusi, yapotezea kuungana na EU kuweka vikwazo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Wakati mataifa mengi ya Ulaya yakiongozwa na Umoja wa Ulaya (EU) wakiendelea kuweka vikwazo kwa Urusi, Serbia imetangaza kukubaliana na taifa hilo katika biashara ya gesi.

Rais wa Serbia, Aleksandar Vucic amesema kuna makubaliano mazuri ya taifa lake kuuziwa nishati hiyo kutoka Urusi, hiyo ni bada ya kufanya mazungumzo na Rais wa taifa hilo, Vladimir Putin.

“Tumekubaliana kusaini mkataba wa miaka mitatu ambao una faida kubwa kwa Serbia na unatufaa,” anasema Vucic ambaye hakutaka kulaani vita inayoendelea baina ya Urusi na Ukraine, pia hawajaungana na EU katika mpango wa kuweka vikwazo dhidi ya Urusi

Source: Aljazeera

---

Serbia secures gas deal with Putin, as West boycotts Russia

Serbia’s President Aleksandar Vucic has announced that he has secured an “extremely favourable” three-year natural gas supply deal with Russia, amid efforts by the European Union to phase out Russian energy supplies.

“What I can tell you is that we have agreed on the main elements that are very favourable for Serbia,” the Serbian president said after clinching the deal during a telephone conversation with his Russian counterpart Vladimir Putin.

As the war in Ukraine rages, Serbia’s president has announced that he has secured an “extremely favourable” three-year natural gas supply deal with Russia during a telephone conversation with Russian President Vladimir Putin.

“What I can tell you is that we have agreed on the main elements that are very favourable for Serbia,” Serbian President Aleksandar Vucic, a former pro-Russian ultranationalist, told reporters on Sunday.

“We agreed to sign a three-year contract, which is the first element of the contract that suits the Serbian side very well,” he said.

Vucic claims he wants to take Serbia into the European Union but has spent recent years cementing ties with Russia, a longtime ally. He has also refused to explicitly condemn Russia’s invasion of Ukraine and his country has not joined Western sanctions against Moscow.

Russia’s deal with Serbia follows after Moscow cut off gas exports to EU members Finland, Poland, and Bulgaria.

The gas deal is likely to be signed during a visit by Russian Foreign Minister Sergey Lavrov to Belgrade early in June – a rare visit by a ranking Russian official to a European country since the invasion of Ukraine began in February.

Despite reports of the atrocities in Ukraine due to the invasion, Vucic and other Serbian leaders have been complaining of Western pressure to join sanctions against Russia.

Serbian officials say the Balkan country must resist such pressure, even if it means abandoning the goal of joining the EU.
 
Mkuu dili hilo halina pesa yoyote ya maana mrusi gesi yake inampa pesa nying sana kwenye ,mataifa ya mangharib ,hawa wazungu wakifanya na wewe biashara unatoka kabisa alafu wao pesa siyo ishu ishu kwao ni ubora na sustainability ,kwa sasa wanatafuta namna ya kumkimbia mrusi maana wamesha notice Russia anaweza tumia gesi kama silaha hapo mbelen.na nikuambie tuu China anapiga sana hela kwa hawa jamaa,ni watu flan wastaarabu kwenye biashara ,mdogo wangu anapeleka parachichi Italy wana ubia na padri mmoja yan parachichi moja kule ni dola 3.8 ,kwa bongo unanunua kitoto ndoo,
 
Alisikika jobless mmoja akiwa Kule Tandale Kwa tumbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom