TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 May 19, 2017 #21 Mtengwa II said: Haa haa!! Umenikumbusha mbali sana! Kuna watu wakikupiga konzi/kwenzi lazima sehemu hiyo isiote nywele tena!! Click to expand... Duh! hiyo hatari...mimi ya kwangu ni ya kuonya tu haina madhara makubwa kama hayo.
Mtengwa II said: Haa haa!! Umenikumbusha mbali sana! Kuna watu wakikupiga konzi/kwenzi lazima sehemu hiyo isiote nywele tena!! Click to expand... Duh! hiyo hatari...mimi ya kwangu ni ya kuonya tu haina madhara makubwa kama hayo.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 19, 2017 #22 Jaslaws said: Acha unafiki...!!na kaa ukijua kwamba wanafiki hawataenda mbinguni. Click to expand...
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 May 19, 2017 #23 Mnataka kuanza kuwa shughulisha na mitindo ya ushangiliaji mwisho wasahau wajibu wao uwanjani.