TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Duh! hiyo hatari...mimi ya kwangu ni ya kuonya tu haina madhara makubwa kama hayo.Haa haa!! Umenikumbusha mbali sana! Kuna watu wakikupiga konzi/kwenzi lazima sehemu hiyo isiote nywele tena!!