mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Habari wadau huu ni udaku nataka niwape juu ya ili swala linalo endelea
Iv kwann nchi zote dunian hazikuchukua hatua za mwanzo kabisa kabla ugonjwa haujaenea na badala yake kusubir mpaka umeathir Sana raia ndio wanachukua atua
Au hii inshu ilikua plan na viongoz wote Wana faam ndio maana wanaruusu ugonjwa usambae kwanza
Mfano tujiulize ni nchi ngap zilikua hazina maambukiz na zilishindwa kufunga mipaka wakizingishia kudorola kwa uchum lakini baada ya watu kua tayar wameathirika serekal ndio zinafunga mipaka je kwa muda ule ambao hawakufunga mipaka waliingiza shiling ngap na vip kias kile kilicho ingia kinatosha kuudumia nch baada ya watu kuathirika na korona na inaitajika watu waudumiwe kwa baadh ya maitaj Kama chakula na madawa na mengine mengi. Ivi ipi ni asara kubwa nchi ingefunga mipaka na kujilinda na maambukiz ya ndan na kufanya watu wawe huru kufanya mambo Yao au kuruusu watu wa mataifa waingie ndani na kuleta maambukiz
Mfano tz tulishindwa kufunga mipaka tukaruusu ugonjwa uingie. Now tunashindwa ku Lock down wakati bado maambukiz ni madogo vip ugonjwa ukichanganya pia tunashindwa kutenga mikoa yenye maambukiz ili na kuiwekea Lock down ili iwe rais tunasubir mpaka ugonjwa usambae nch mzima ndio tujifungie ndani Tanzania mzima huu ni ujinga kwann tusifungie watu kusafir kila mtu akae kwenye area yake Kama tunaogopa kupoteza kod za magar Basi tujiandae kutoa hela zote zilipo bank na kubaki mpty
Kama juu limesha sema Kama hii inshu Sio plans Basi ni mungu katufumba macho tusi shtuke mpaka ngoma isambae Mana hamna ujinga wa ivi kwann nchi isifunge mipaka watu wasi safir kwenda mikoan au tunasubir tuziwie mabas kusafir mpaka maambukiz yasambae Kama tulivyo subir kufunga mipaka mpaka ugonjwa ulipo ingia ivi kwann viongoz wote wanafanya makosa haya haya ya mpaka ugonjwa usambae ndio wanachukua action? Mana najua ugonjwa ukisambaa nch mzima watu watafunga mipaka but tujiulize watafunga for what?
Sent using Jamii Forums mobile app