Serekali au SErikali?

Serekali au SErikali?

babacollins

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
901
Reaction score
212
Naomba nipatiwe neno sahihi kati ya serekali na serikali pia naomba kujua tofauti kati ya kifo na mauti.
 
sio serekali wala serikali bali ni sirikali!
 
Ni selikari!

2.jpg
 
Wachana na hizo zote, kiboko ni SEREKALE!..(wachaga inahusu!!)
 
SIRKAAL ndio asili ya neno kutoka kwa waarabu, kwetu ni serikali
 
Back
Top Bottom