Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 983
Big result(kwa maana ya matokeo makubwa) ama taifa linataka Elimu bora kwa maana ya kwamba ya mwanafunzi anaepata matokeo makubwa (big result ya kwenye cheti) anaupeo wa kiasi gani wa kufanya jambo katika hali ya kawaida ya maisha??..
Kama tunataka taifa la watu ambao watakuwa na vyeti vzuri na vyenye matokeo makubwa basi hiyo itakuwa rahisi sana kwetu, ila kama tunataka Elimu bora kuanzia kwenye vyeti mpaka kwenye vitendo basi inbidi tuangalie upya mfumo wetu wa elimu yetu..