Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?

Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa watanzania, basi mlitakiwa mtueleze tena kua mlifuta madai tena kwa tume kabla ya waziri kushindwa kujieleza na kwenda kupiga chabo

Ila hakika jasho la watanzania wanyonge halitawaacha salama hata kizazi cha tatu na channe huko
 
Aliyeunda tume, kisha kutangaza, na kisha kuondoa, hayupo tena.

Hawa wa sasa lazima wababaike maana na wao hawaelewi kitu, wanajibu kwa vile tu wanalazimika kujibu.
 
Tajiri anasamehewa matrilion halafu raia maskini anakuja kupigwa tozo!
 
We unaamini kulikuwa na hayo matrilioni kweli?
 
Aliyeunda tume, kisha kutangaza, na kisha kuondoa, hayupo tena.

Hawa wa sasa lazima wababaike maana na wao hawaelewi kitu, wanajibu kwa vile tu wanalazimika kujibu.
Mbona professor yuko bungeni na alishiriki hatua zote. Yeye na mwigulu wanaweza kuwapa majibu au tulidanganywa?
 
Magufuli aliwashika pabaya. Sasa hawa wa sasa wameshapigwa biti kuwa waachane na ile kesi ili waendelee kupewa vihela hela hivi vya njaa njaa na kurubuniwa kuuza rasilimali kwa bei ya kutupa.

Upumbavu ni mwingi sana kwa sasa
 
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?

Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa watanzania, basi mlitakiwa mtueleze tena kua mlifuta madai tena kwa tume kabla ya waziri kushindwa kujieleza na kwenda kupiga chabo

Ila hakika jasho la watanzania wanyonge halitawaacha salama hata kizazi cha tatu na channe huko
Ushahidi wa awali wa Mwigulu mwenyewe huu hapa , halafu Tafakari mwenyewe

JamiiForums-139524885_486x371.jpg
 
Back
Top Bottom