Aliyeunda tume, kisha kutangaza, na kisha kuondoa, hayupo tena.Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?
Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa watanzania, basi mlitakiwa mtueleze tena kua mlifuta madai tena kwa tume kabla ya waziri kushindwa kujieleza na kwenda kupiga chabo
Ila hakika jasho la watanzania wanyonge halitawaacha salama hata kizazi cha tatu na channe huko
Mbona professor yuko bungeni na alishiriki hatua zote. Yeye na mwigulu wanaweza kuwapa majibu au tulidanganywa?Aliyeunda tume, kisha kutangaza, na kisha kuondoa, hayupo tena.
Hawa wa sasa lazima wababaike maana na wao hawaelewi kitu, wanajibu kwa vile tu wanalazimika kujibu.
Ushahidi wa awali wa Mwigulu mwenyewe huu hapa , halafu Tafakari mwenyeweEndeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?