Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka shamba hili ni la kulitafakari sana maana kwa upande mwingine kilimo ni hobby aidha tunaweza kusema ni wito, upenzi ndani ya moyo wa mkulima.