Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka shamba hili ni la kulitafakari sana maana kwa upande mwingine kilimo ni hobby aidha tunaweza kusema ni wito, upenzi ndani ya moyo wa mkulima.
Wanapiga siasa tu Hawa wajinga ila muda Huwa haudanganyi.Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka shamba hili ni la kulitafakari sana maana kwa upande mwingine kilimo ni hobby aidha tunaweza kusema ni wito, upenzi ndani ya moyo wa mkulima.
kilamtu anaweza kulima
Kuna mindset ile kwasababu wewe bushmen Basi kilimo kwaajiri yako na sio wakinondoni ukikomaa na hii mindset utaona wenzio wanachukua kila sector na kutoboa....watu kibao hapa dsm wanakula maisha daily ila Wana mashamba huko bushNaunga mkono hoja. Kila MTU anaweza kulima akipewa kalamu. Bahati mbaya ni kuwa hatuli maandishi, lazima tuvune mazao halisi na hapo ndipo hawa wakulima was PDF huingia mitini.
...Kuzurula Sio Kudhurula !.... Umakini..!Pigeni kelele siku watu wanatoka maisha kupitia hiyo program hamtaamini. Sijui mlitaka vijana waendelee kudhurula huko mjini? Kwa hili tumpongeze mama samia kwa kuwaondoa vijana kwenye wimbi la umaskini na kupelekea kuongezeka kwa pato la Taifa hapo mbeleni
Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma.. Matokeo yake ndio haya sasa, badala ya hii ishu ya kilimo kukabidhiwa wataalam wa kilimo wanasiasa wamelikwapua na kuleta haya mafyekeleNimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka shamba hili ni la kulitafakari sana maana kwa upande mwingine kilimo ni hobby aidha tunaweza kusema ni wito, upenzi ndani ya moyo wa mkulima.
Hao vijana ni watoto wa haohao wakulima na wa tanzania pia.Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka shamba hili ni la kulitafakari sana maana kwa upande mwingine kilimo ni hobby aidha tunaweza kusema ni wito, upenzi ndani ya moyo wa mkulima.
Mkuu we had record kwa hiki kinachofanyika yalisha undwa makundi mengi yaliyokuwa na hari kubwa miaka iliyopita, labda wewe kijana wa juzi Hufahamu hili, nasisitiza mkulima aliyepo site aongezewe nguvu ili alime mara kumi zaidi ya kilimo anacholima kilimo sio PRACTICAL ndugu kilimo kwanza ukipenda kilimo pia huwa na tabia ya kukataa baadhi ya watu hivyo sio kila mtu anaweza kuwa mkulima, kilimo kina mkono wake, sisi tuliolima kitambo tunafahamu mambo haya.Pigeni kelele siku watu wanatoka maisha kupitia hiyo program hamtaamini. Sijui mlitaka vijana waendelee kudhurula huko mjini? Kwa hili tumpongeze mama samia kwa kuwaondoa vijana kwenye wimbi la umaskini na kupelekea kuongezeka kwa pato la Taifa hapo mbeleni