Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Police ndizo KAZI zao na wapo kazini 😀😁😁😁
Serikali kama inq nywea kwa kelele za mitandaoni pia ijitafakari, haikuwa na sababu ya kutumia nguvu kiasi hiki, na kutengeza scenario kibao za kuonesha kuna uandamaji wakati watu wapo busy na heka heka zao
Hakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli kkoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..
Kuomba mawazo kwa Rais kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....
😁😁😁

Mara ya mwisho walipopuuza ulinzi kuna tangazo likatoka watu wabaki ndani kuna operation maalum.😁😁😁
Serikali kama inq nywea kwa kelele za mitandaoni pia ijitafakari, haikuwa na sababu ya kutumia nguvu kiasi hiki, na kutengeza scenario kibao za kuonesha kuna uandamaji wakati watu wapo busy na heka heka zao
Mimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.Hakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli kkoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..
Kuomba mawazo kwa Rais kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....
Wachache sana wanaelewa hilo game la wizi linavyochezwa.Subiri waje kufanya retirement uone mabilioni yaliyopigwa kwa zoezi hili ndio ujue hujui! Biashara hii ujue...
Nchi itakaa hivi hadi lini ? Maana yake baada ya mwezi tena kikiamshwaa kazi itakuwa ni hii hii ?Mara ya mwisho walipopuuza ulinzi kuna tangazo likatoka watu wabaki ndani kuna operation maalum.
Subiri waje kufanya retirement uone mabilioni yaliyopigwa kwa zoezi hili ndio ujue hujui! Biashara hii ujue...
Wakifute Chadema maana ndio kikundi cha wajinga wengi waliofika shule na VyuoHakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli kkoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..
Kuomba mawazo kwa Rais kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....
Inachoshaaa mbona sio kila siku wapo hivyoo ? WanazunguaPolice ndizo KAZI zao na wapo kazini 😀
Huenda ni miradi ya wakubwaa eeeh
Mi nadhani vyanzo vinafahamika. Kutekwa na kupotezwa kwa Watanganyika halafu raia wa Nchi nyingine anajibu kuwa kifo ni kifo tu chaweza kuwa chanzo kimoja wapo.Hakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli kkoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..
Kuomba mawazo kwa Rais kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....
Samuya kashinda uchaguzi kwa 98% uoga wa nini sasa? Anapendwa sana na kila Mwananchi.Hakika hakika,