Serekali yetu ni lazima itafute,ishughulikie vyanzo vyote vinavyoanzisha maandamano

Kama unajua we ni mtanzania maskini na muda huu unapanga kuandamana unakoish huna hata debe la unga ndani unaishi kwenye nyumba ya kpanga au bado unagongea msosi kwamama we mi mmbwa kama mbwa wengine tu nahcho unachokusudia kukifanya nimatumizi mabaya ya muda naili usilete madhar kw wenzako nadhani kuuawa ndo msaada pekee unaoustahili pumbv
 
Nchi inaingia hasara kubwa sana kwa shughuli kusimama kwa muda sasa hii ikiendelea hivi kila baada ya muda fulani si uchumi utakuwa hoi bin taabani.?
Unaelewa wanaothirika zaidi ni wananchi wa kawaida, hakuna mbunge hata mmoja anayeumia kwenye hizi drama.
 
Hakika hakika,

Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..

Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....

Kwa yanayoendelea nitajipa maamuzi binafsi kuwa viongozi wetu ni vilaza 100 kwa100 na anayebisha alete sababatu 10 zenye mashiko kushawishi kuwa kwanini sii kweli tunaongozwa na vilaza?Tena vihiyo kweli kweli!
 
We ni mamba kweli, sasa ukifuta baadhi ya vyama si ndio unachochea kabisa maandamano? Halafu nani kakuambia maandamano ni ya vyama? Vianzo vya maandamano ni vingi ewe mamba, sema serikali itende haki kwa raia zake
 
😁😁😁
Serikali kama inq nywea kwa kelele za mitandaoni pia ijitafakari, haikuwa na sababu ya kutumia nguvu kiasi hiki, na kutengeza scenario kibao za kuonesha kuna uandamaji wakati watu wapo busy na heka heka zao
Serekali ndiyo baba,ndiye mlinzi mkuu,wasiwasi kwake ni akili nzuri tu.
 
We ni mamba kweli, sasa ukifuta baadhi ya vyama si ndio unachochea kabisa maandamano? Halafu nani kakuambia maandamano ni ya vyama? Vianzo vya maandamano ni vingi ewe mamba, sema serikali itende haki kwa raia zake
#Mdanganye_mjinga_engineering_ya_hii_kitu_ipo_chini_chadema.
 
Kama thinktank yake inatoka jalalani na kwa mwaipopo kuna solution zaidi ya mabunduki na fisi weusi? Tulishapoteza uwezo wa kufikiria solutions mkuu, tunajua kila tatizo ni nyundo tu inahitajika!
Hawataki kutoa suluhisho la kudumu halafu waoga
 
Hakuna mtu wa kuandamana hapa Tanganyika.. kuna vijibwa kazi kubweka tu mitandaoni.. Kwa mfumo wa maisha wa nchi hii ambao mijini asilimia kubwa wanachokula kesho wanatafuta leo ,, na huko vijijini waliozoea umaskini wao usitegemee wa kwenda kufumuliwa na risasi..

Tuwe wapole ndugu watanganyika wenzetu tuendelee kutiwa ma-🖕 na wana-mfumo hakuna namna,...
Hata babu yako, baba yako nao pia walishindwa kama wewe,,, usife kwa hasira za mihemuko ya bure..
 
Hakika hakika,

Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..

Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....View attachment 3624155
CHANZO NI SERIKALI YENYEWE.
 
Kwa yanayoendelea nitajipa maamuzi binafsi kuwa viongozi wetu ni vilaza 100 kwa100 na anayebisha alete sababatu 10 zenye mashiko kushawishi kuwa kwanini sii kweli tunaongozwa na vilaza?Tena vihiyo kweli kweli!
Mbona historia zao za kielimu ziko wazi
Wewe uliona wapi mtu anaenda kupata elimu ya Maana Pakistan
 
Yani majenerali wa kibongo na walivyo wengi wanajambishwa na wadada wembamba wa kilo 40 dah, nchi yetu 😛 😛
 
Hakika hakika,

Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..

Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....View attachment 3624155
Utafutika wewe na chama chako pengine utafanikiwa tu kuifuta chaumwa kwa majaribio!
 
Hakika hakika,

Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..

Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how to do!....
Ujinga huu posibly wakaufanya kwenye kila matukio muhimu ya kiserekali na kitaifa!
#Allaaaa Ujinga huu..
#Itafutwe namna ya kufuta baadhi ya vyama....View attachment 3624155
Unanyamazisha watu kwa nguvu Kisha unaita mafanikio
Asante mungu Jana watz waliandamana majumbani
Juha ni yule anayeamini maandamano hayakuwepo tu kwasababu watu hawajaingia road
 
Back
Top Bottom