Serena Hotel yatangaza vinywaji nusu Bei kesho Taifa stars ikishinda

Serena Hotel yatangaza vinywaji nusu Bei kesho Taifa stars ikishinda

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kataka kuonyesha kumuunga mkuu wa mkoa Paul Makonda , Serena Hotel imetangaza uuzwaji wa vinywaji vyake vyote nusu Bei kesho Kama taifa stars ikishinda mechi muhimu dhidi ya Uganda ili watanzania washerekee
Mechi ya Tanzania vs Uganda itapigwa kesho uwanja wa Taifa saa 12 jioni
Screenshot_20190323-125201~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kataka kuonyesha kumuunga mkuu wa mkoa Paul Makonda , Serena Hotel imetangaza uuzwaji wa vinywaji vyake vyote nusu Bei kesho Kama taifa stars ikishinda mechi muhimu dhidi ya Uganda ili watanzania washerekee
Mechi ya Tanzania vs Uganda itapigwa kesho uwanja wa Taifa saa 12 jioni
View attachment 1051948

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa....... Nusu bei ya Serena unaijua wewe mswahili wa Ufipa street?!
 
Ba.shite ashamwaga pesa za walipa kodi wavuja jasho, Uzalendo haujengwi Kwa kupunguza bei za vinywaji Na mambo kama hayo ya OFA bali matendo Na uwajibikaji wa Viongozi waliopewa mamlaka

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom