Bia 7000 pale kwaiyo nusu yake ndo Bei ya keshoAmbayo itakuwa ni shing ngapi?
Bia buku7 mkuuHivi hawa si ndo wanauzaga soda buku na bia 5000 sasa hata wakishusha si bado ni ileile
Hahahaa....... Nusu bei ya Serena unaijua wewe mswahili wa Ufipa street?!Kataka kuonyesha kumuunga mkuu wa mkoa Paul Makonda , Serena Hotel imetangaza uuzwaji wa vinywaji vyake vyote nusu Bei kesho Kama taifa stars ikishinda mechi muhimu dhidi ya Uganda ili watanzania washerekee
Mechi ya Tanzania vs Uganda itapigwa kesho uwanja wa Taifa saa 12 jioni
View attachment 1051948
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh. Kweli hilo punguzo kwao.
Ukiuziwa buku4 au 3500 sio mbaya sanaDuh. Kweli hilo punguzo kwao.
Soda nadhani itakuwa buku 3Ambayo itakuwa ni shing ngapi?
Haha wakishusha inakuwa 3500
Wale mbuzi sidhani kama wanamahusiano Na bashite. Hawanaga uswahili and I bet hawatoshusha!Nasubiri kempisk watoe hiyo offer pale level 8
[emoji1][emoji1][emoji1] acha ubahili mkuu!
!
Huko Serena Nusu Bei Number Ya Bia Tatu Kitaa. Mtakutana Wenyewe Hapo Mahali.
Ndio,umeambiwa ikimfunga Uganda wala sio kufuzu AfconTaifa starz itashinda na Lesotho nayo itashinda, bado tutanunua kwa nusu bei?
Sent using Jamii Forums mobile app