kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Toka mkewe akiwepo....sasa kwa nn mkewe hakutoa taarifa ? Anyway RIP mke wa mtuhumiwaUnaweza kuta mambo ya kishirikina mganga kamwambia afanye hiyo mambo ya mwendee poa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka mkewe akiwepo....sasa kwa nn mkewe hakutoa taarifa ? Anyway RIP mke wa mtuhumiwaUnaweza kuta mambo ya kishirikina mganga kamwambia afanye hiyo mambo ya mwendee poa.
Mh! Ujinga tu! Mara nyingi gongo inachangia. Unajua pombe Kali huwa zinaondoa fuse za kujielewa. Uswahilini mambo haya yapo sanaUnaweza kuta mambo ya kishirikina mganga kamwambia afanye hiyo mambo ya mwendee poa.
Watanzania tunayamaliza kifamilia siku zote kwa kauli ya kuwaHaya mambo yapo sana kanda ya ziwa...nilikua naangalia kipindi flan TBC mambo mengi wanamaliza kifamilia...ndo shida inapoanzia
Happy tears tena?😨
This is too much
Yu a not matured inafyuAcha ale matunda yake,
Ni sawa ulime shamba alafu uvune.
Aki Mi naua kabisaIt is so sad truly speaking. Just imagine a father of 50 plus years to be involved with her 11 YO daughter this way! Unaweza kuua kusema kweli.
No hard feelings,Yu a not matured inafyu
Pambana na stress za maisha yako buda, Mimi sijakuleta duniani. Mimi nina shida zangu ni sikilize za huyo mshua za nini? Ukiamua na wewe chapa wako mi hainihusuWatu kama hao si ndio mnawaitaga "baharia" sijui!
Maana umeandika kwa kumtukuza huyo firauni kana kwamba amefanya jambo la kishujaa sana!!
Eti "dingi anakula".... ? ni sifa hiyo?
Wewe ni mjinga sana eti! Sijui kama unajua hilo?
I can smell your stupidity from miles away! I can see it between the lines!
Sijui mmekuzwa na kulelewa kwenye mazingira gani ya kutetea walawiti na wanajisi!? inatafakarisha!!
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11).
Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema na kumkuta nyumbani kwake amelala chini pamoja na mtoto huyo wote wakiwa hawajavaa nguo.
Mmoja wa majirani amesema mtoto huyo ameingiliwa kwa muda mrefu na baada ya kujiridhisha waliamua kutoa taarifa kwa kiongozi wa kitongoji na polisi walipofika waliwapa ushirikiano.
“Huyo mtoto hajaanza shule mpaka sasa, mama yao aliachana na baba yao baada ya kubaini anamuingilia mtoto wake mkubwa. Aliondoka na watoto wadogo kwenda Simiyu, hata hivyo, alifariki dunia ndipo mtuhumiwa akafuata watoto na kuja kuishi nao,” amesema jirani huyo kwa sharti la kutotajwa jina.