Serengeti Boy afunguka jinsi Shilole alivyomtongoza na kumtumia kisha kumtosa

Serengeti Boy afunguka jinsi Shilole alivyomtongoza na kumtumia kisha kumtosa

Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata,
Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia kumtongoza sanaa akakosa uhuru kwa kuwa alikuwa dansa wake ikibidi amkubali, lakini aliishia kupata maumivu kwani alitoswa katikati
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji

huyu bavicha wa msituni bagamoyo....akili za ufipa
 
Huyu jamaa anaumia nini sasa ikiwa shishi baby hakua anampenda toka mwanzo sasa si ndyo afurahi ameachwa atafute ampendae
 
sishangai kwa wanaume wa dar kupenda maujiko ya kuonekana runingani
 
Hilo nalo jinga kabisa linatafuta Kiki...mwanume kukosa kifua ni sawa na kuwa na kansa.
Pamoja na madhaifu ya Shilole huwa anaishi maisha ya uhalisia sana na nina mkubali sana na bila shaka hakumtongoza..
Shishi uvccm au uwt?
 
Back
Top Bottom