super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,097
huyu bavicha wa msituni bagamoyo....akili za ufipaShilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata,
Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia kumtongoza sanaa akakosa uhuru kwa kuwa alikuwa dansa wake ikibidi amkubali, lakini aliishia kupata maumivu kwani alitoswa katikati
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji
Sio jinga, ni pumb'avu... lingeendelea kuchomekewa maswali ya kimetego lingesema hadi mambo ya chumbani!Hilo nalo jinga kabisa
Itabidi muende nao Makao Makuu ya nchi manake hayavumiliki kuishi nayo!Bora Serikali iharakishe tuamie Dodoma,maana tunapewa aibu na hawa "mabwabwa"
Shishi uvccm au uwt?Hilo nalo jinga kabisa linatafuta Kiki...mwanume kukosa kifua ni sawa na kuwa na kansa.
Pamoja na madhaifu ya Shilole huwa anaishi maisha ya uhalisia sana na nina mkubali sana na bila shaka hakumtongoza..
Huyu sio wa mzizima atakuwa alikuja na tren hv au bus mzimima kutafuta maisha,huyu anatoka huko huko kwenuWanaume WA Mzizima nouma.