Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu
Katika michuano jiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu Tanzania imepangwa kundi B na timu ya Mali Niger na Angola
Tanzania imefuzu michuano hiyo baada ya Congo Brazzavile kuondolewa kwa kumchezesha mchezaji aliyezidi umri wakati walipokutana na Tanzania
Makundi ni kama ifuatavyo
Group A
Gaboni
Ghana
Guinea
Cameroon
Kundi B
Mali
Niger
Angola
Tanzania
Source [/
www.wapendasoka.comURL]