Serengeti boy yapangwa kundi B

Serengeti boy yapangwa kundi B

marcs

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Posts
1,066
Reaction score
573
9722712618552ff4c4c9cfbbbfadd3ed.jpg
Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu

Katika michuano jiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu Tanzania imepangwa kundi B na timu ya Mali Niger na Angola

Tanzania imefuzu michuano hiyo baada ya Congo Brazzavile kuondolewa kwa kumchezesha mchezaji aliyezidi umri wakati walipokutana na Tanzania
54b91fa2b653bc8fec8d3f2a20cfde0e.jpg

Makundi ni kama ifuatavyo

Group A

Gaboni
Ghana
Guinea
Cameroon

Kundi B

Mali
Niger
Angola
Tanzania

Source www.wapendasoka.com
 
Nitafurahia kuona wanapeperusha bendera na kutuletea kombe.
 
Good move.
Hili kundi tunapita bila shaka.
 
ndo mwanzo wa mimi kuanza kushabikia mpira wa Tanzania baada ya sera mbovu ya Si-Yanga
 
Hapo naamini tuna nafasi ya kwenda nusu fainali!
 
9722712618552ff4c4c9cfbbbfadd3ed.jpg
Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu

Katika michuano jiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu Tanzania imepangwa kundi B na timu ya Mali Niger na Angola

Tanzania imefuzu michuano hiyo baada ya Congo Brazzavile kuondolewa kwa kumchezesha mchezaji aliyezidi umri wakati walipokutana na Tanzania
54b91fa2b653bc8fec8d3f2a20cfde0e.jpg

Makundi ni kama ifuatavyo

Group A

Gaboni
Ghana
Guinea
Cameroon

Kundi B

Mali
Niger
Angola
Tanzania

Source [/www.wapendasoka.comURL]

This year, mabingwa ni Tanzania.
 
Shida mwalimu anayewajua aliyewatengeza hao watoto Bakari Shime yupo kwingine tena
 
Machozi yangu yakila Siku mungu kayapokeya ndiyo mahana rufa tumeshinda na kombe tumechukuwa
 
Ni nchi mbili tu toka kusini mwa jangwa la sahara tumejitahidi sana.
 
Back
Top Bottom