Serengeti boy yapangwa kundi B

Serengeti boy yapangwa kundi B

9722712618552ff4c4c9cfbbbfadd3ed.jpg
Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu

Katika michuano jiyo inayotarajiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu Tanzania imepangwa kundi B na timu ya Mali Niger na Angola

Tanzania imefuzu michuano hiyo baada ya Congo Brazzavile kuondolewa kwa kumchezesha mchezaji aliyezidi umri wakati walipokutana na Tanzania
54b91fa2b653bc8fec8d3f2a20cfde0e.jpg


Makundi ni kama ifuatavyo

Group A

Gaboni
Ghana
Guinea
Cameroon

Kundi B

Mali
Niger
Angola
Tanzania

Source www.wapendasoka.com
Waziri Nape ulimpa Diamond Bendera ya Taifa kwenda Afcon.

Mh Waziri Nape sasa jiandae kikamilifu kwa hawa vijana tafadhali tuache maneno tuwatie moyo kwa vitendo kama Serikali na TFF ili wakafanye vizuri.

Sio tena tunaanza kusikia malalamiko ktk kambi yao wakati muda upo sana.
 
Back
Top Bottom