Serengeti boys future ya Tanzania

Tunakujua wewe ni raia wa wapi!? Hivyo si shangai post yako ya namna hii!
====
Na wala hatutakusumbua kukutimua, tutakuacha ili aibu ikuvae sawa sawa!
 
Kama sio una matatizo ya akili basi kuna complexity flan inakusumbua sana bro take a moment utulie but kupitia post zako nahisi una shida si bure
 
Picha limeshaanza, tayari wamedroo na bingwa mtetezi. Leo wanacheza na Angola.

Mpaka hapo wamekuprove wrong!

Yawezekana kule ' kuwapuuza ' Kwangu ndiko kumesaidia Wao kuweza kufanya vizuri na nilifanya vile ' makusudically ' kabisa ili niwatie ' njaa / hasira ' ya kuleta mafanikio zaidi huku wakijua kuwa ' wananikomoa ' Mimi kumbe kinyume chake ndiyo wanafanya kile ambacho Mimi nilipenda wakifanye ambacho ni kushinda na kweli sasa tunashinda na kuna hata uwezekano tukachukua Kombe hili na hata la Dunia na lile ambalo labda litaandaliwa huko ' Mbinguni ' kwa Maulana.
 
Ataumbuka tu
Tayari tuna point 4 kutoka kwa hao ulio wataja

Hizo points zako nne ( 4 ) kamwe usingezipata kama Mimi nisingetumia ' mbinu ' yangu ' kabambe ' ya Kisaikolojia ya kujifanya kama vile nawasema ili kusudi tu niwatie ' Ndimu / Njaa / Hasira ' kusudi wakienda huko Gabon basi wasi ' mbwele mbwele ' na kweli Vijana wa Serengeti Boys wamefanya kile ambacho nilitaka watufanyie Watanzania.

Gabooooooooooooooooooooooooooooooooon..........mpaka...........................kombe la duniiiiiiiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaa!
 
Tunakujua wewe ni raia wa wapi!? Hivyo si shangai post yako ya namna hii!
====
Na wala hatutakusumbua kukutimua, tutakuacha ili aibu ikuvae sawa sawa!

Soma hapo juu post zangu #24 na #25 tafadhali kwani ' nimetiririka ' na ' kuserereka ' vizuri sana tu na Kimantiki zaidi.
 
Kama sio una matatizo ya akili basi kuna complexity flan inakusumbua sana bro take a moment utulie but kupitia post zako nahisi una shida si bure

Nadhani haya matatizo yote uliyoyaainisha hapa ' Mamaako ' alianza kuwa nayo kabla yangu na bila shaka hata katika ' Koo ' zako mbili yanawakabili sana kama siyo mno.
 
Nadhani haya matatizo yote uliyoyaainisha hapa ' Mamaako ' alianza kuwa nayo kabla yangu na bila shaka hata katika ' Koo ' zako mbili yanawakabili sana kama siyo mno.
Yaani ungejua hunisumbui kabisa....nilivyo join Mara ya kwanza JF nlikua nakuheshimu sana nlidhani kuna kitu huko juu kumbe kuna mbegu ya ubuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…