Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

Serengeti Boys imevunja kambi yake leo Juni 5 lakini hawajapewa Tsh. Milioni 500 walizoahidiwa na Rais Samia

Hao vijana wa Serengeti Boy's wamepewa pesa zao ?.
Serikali Tunaomba ufafanuzi
Subiri kwanza unajua wanaweza wakaja juu kusema kwamba walipoanza kuwaparamia na hizo ahadi ndio zimewasababisha madogo wasifanye vizuri kwa hio vijana waachwe wapumzike watapewa pesa yao km walivyoahidiwa
 
Hizo zimeibwa na jitu flani kaziweka fixed account azizalishe kwanza
 
Lakini pesa ya kupeleka watu 250 morrocco na kuwarudisha, malazi yao hotelini, pesa ilipatikana chapu, ila hela ya kuwalipa wachezaji ndio tunaambiwa mifumo inasumbua...mchakato unashughlikiwa Duuu!
 
Hivyo Viwanja Hapo Morogoro, Samia City Navyo Ni Hewa ?
 
Hakuna watu wazulumati kama wabongo

Ova
 
Wawape madogo ili wapate morality kidogo. Hawa wakina Samia ni matajiri wanashindwa vipi kuwapa watoto pesa kiduchu hivi?
 
Back
Top Bottom