AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Subiri kwanza unajua wanaweza wakaja juu kusema kwamba walipoanza kuwaparamia na hizo ahadi ndio zimewasababisha madogo wasifanye vizuri kwa hio vijana waachwe wapumzike watapewa pesa yao km walivyoahidiwaHao vijana wa Serengeti Boy's wamepewa pesa zao ?.
Serikali Tunaomba ufafanuzi
Unawasha moto kwenye ahadi?Ningekuwa mimi ndio mmoja wa wachezaji apo moto ambao ningeuwasha wangejuta
Mkuu Ahadi Ni DeniUnawasha moto kwenye ahadi?