Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Kula like mkuu
 
Vijana wetu watafika hadi kombe la Dunia. Ushindwe kabisa we mchawi! Sisi tunamshukuru Mungu kwa hatua tuliyopiga wewe unatukejeli? Waambie wakenya wenzio mwaka huu Tanzania si kichwa cha nazi.
 
Washenzi woote,wanafiki woote na wazandiki woote,wapakwa mafuta wooote kama Ben paulo katu hamtoweza irudisha nyuma adhma safi na nia njema kabisa ya vijana Serengeti Boys #Nyoko#
 
Hawa ndio wale ndugu zetu wa kisiwani wanaojiita waarab au kujinaaibisha na waarab wa oman... Huwa hawajielewi mpaka leo hii
 
Kama huna cha kuandika kwanini usibebe mwanao mkachunge hata kuku kama huna mbuzi? Unaandika upuuzi tu
 
Sio bure una stress zako za nyumban umekuja hamishia huku mtandaon kwa vijana wa kazi, vijana wanapiga mpira na watashinda hata usiposhangilia sawa tu we mmoja huna faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…