Mungu anakuona ujue!!!Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.
Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli
Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Mwendawazimu ni ugonjwa na hurithiwa. Nimesema Srengeti boys wampelkwa Afcon U17 kwa upondo, nafasi ilikuwa sio yao na wametolewa kwa upondo. Warudi waje kutupa vichwa vyao tuje kujifundishia kunyoa. Mimi sikutafuna maneno Srengeti Boys ni vichwa vya wendawazimu.Tabia za kiswahili ndio hizi. Ukifanikiwa , wanataka kukushusha uwe chini zaid yao, au uwe sawa na wao. Na wakishindwa watasema lolote tu ili hadhi yako ishuke.
Mtoa post wewe ni mswahili... na hiz ndio tabia zako
mungu kaniona na kunipa akili ya kutopenda kisichopendekaMungu anakuona ujue!!!
Hii ni aibu kwa Malinzi,kikundi cha wahaya wenzie pale Tff na wapenda vichaaAsante kwa utabiri wako,yaani wamenikera bia zote zimekata kichwani..
Hii ni aibu kwa Malinzi na kikundi cha wahaya wenzie pale Tff
mungu kaniona na kunipa akili ya kutopenda kisichopendeka
Hii ni aibu kwa Malinzi,kikundi cha wahaya wenzie pale Tff na wapenda vichaa
Wakimbizi utawajua tu.Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.
Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli
Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Ujumbe umewafikia ahahahah! NILIKUWA SIWAPENDI AISEEWivu utawaua safari hii nasema.
Yani afrika mzima kwa sasa wanaigopa sana Serengeti boys.
Huu ujumbe uwafikie Ghana kwamba wababe wao tunakuja.
Wewe ni mkimbizi tu. Hata ufanyeje.
Jibu tayari umeshalipata. wewe ulioteremshwa kutoka mbinguni hongera
Wewe mkimbizi..hata uende wapiWEWE NI MSHENZI TU MUUAJI WA ALBINO NA MCHUNA NGOZI WATU - HIYO NDIO AMALI YAKO
Viazi vingi humu jamvini jamani [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.