Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Asante kwa utabiri wako,yaani wamenikera bia zote zimekata kichwani..

Hii ni aibu kwa Malinzi na kikundi cha wahaya wenzie pale Tff
 
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.

Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli

Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Mungu anakuona ujue!!!
 
Tabia za kiswahili ndio hizi. Ukifanikiwa , wanataka kukushusha uwe chini zaid yao, au uwe sawa na wao. Na wakishindwa watasema lolote tu ili hadhi yako ishuke.
Mtoa post wewe ni mswahili... na hiz ndio tabia zako
Mwendawazimu ni ugonjwa na hurithiwa. Nimesema Srengeti boys wampelkwa Afcon U17 kwa upondo, nafasi ilikuwa sio yao na wametolewa kwa upondo. Warudi waje kutupa vichwa vyao tuje kujifundishia kunyoa. Mimi sikutafuna maneno Srengeti Boys ni vichwa vya wendawazimu.
1. Kwanza wote hawakusoma na hivyo hawafundishiki.
2. Michezo ukaingiza siasa ndio kaput.
3. Vichaa hawaaminiki. Leo wauri kesho wabovu na mara hujifunga wenyewe kama yalivyotokea
4. liliobaki kuleta visingizio visivyo na maana. Toeni visingizio Serengeti Boys watabaki kuwa kichwa cha wenawazimu. 5. Na mkiendelea kuilea timu hii mtaendelea kuulea uwendawazimu.
 
mungu kaniona na kunipa akili ya kutopenda kisichopendeka
Hii ni aibu kwa Malinzi,kikundi cha wahaya wenzie pale Tff na wapenda vichaa

Malinzi na Wakyembe walishajua hii team ndo kiki yao, Niger waleeeeeeee
 
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.

Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli

Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Wakimbizi utawajua tu.
 
Wivu utawaua safari hii nasema.
Yani afrika mzima kwa sasa wanaigopa sana Serengeti boys.
Huu ujumbe uwafikie Ghana kwamba wababe wao tunakuja.
Ujumbe umewafikia ahahahah! NILIKUWA SIWAPENDI AISEE
 
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.

Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli

Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
Viazi vingi humu jamvini jamani [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
tungekuwa serious na mpira serikali na tff wangewasambaza hawa watoto katika academy kubwa ulimwenguni na wakawasponsor mwanzo mwisho lakini kwa aina ya viongozi ya tulionao huenda hii timu hata siku ya kurudi ikatelekezwa na hawa watoto mpira wao ukaishia simba na yanga
 
We jamaa mchawi.. umetorogea timu yetu. Shenzi zako ..ulikesha ikiomba serenget boys washindwe. Chizi kweli
 
Back
Top Bottom