Serengeti Boys kuna Mzanzibar hata mmoja?

Madogo wamefundishwa soka na wenzao.
 
Unashangaa mashindano ya vyuo wanachukua wazanzibar, copa cocal cola wanachukua wazanzibar. Serengeti boys hawapo

10% kwa Kocha Mkuu na Viongozi baadhi Waandamizi wa TFF. Wazanzibari wanajulikana na kuwa Wabishi, Wasiopenda Kuonewa na Maamuzi magumu.
 
Soon mtakuja na Uzi kuuliza kama kuna Muislam/Mkristo....
 
Mabasi? ndo najua leo
Panda treni kutoka Tabora ushukie Stesheni ya dar es Salaam bila kitambulisho uone kama utapita?? Siku hizi hata kukata ticket za bus mikoani lazima uwe na kitambulisho.
 
Miaka yote wazanzibar hawatendewi haki, na ndio maana tim zetu zinapitia wakati mgumu.
 
Zanzibar ni nchi lakini inatawaliwa na Tanganyika hivyo kila kitu kinaamuliwa Tanganyika na watanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…