Serengeti Boys wanyakua ubingwa wa COSAFA

Hongera nyingi sana kwao..Bravo Serengeti Boys
 
Hongereni Serengeti Boys kwa mafanikio hayo! Muendelee kupigana mfike World Cup!
 
Ahsanteni sana kutuwakilisha vyema kimataifa sio kama wale jamaa waliokanwa na Nkana.
 
Baada ya miaka mitano 90%watakuwa wamepoteana wengine wamestaafu soka
 
Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Afadhali hawajatuaibisha kama Mikia
 
Hawa hawakupewa lile gawiwo
Wangefanya vizuri zaidi ya hapo
 
Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Safiiiii.
 
Hongera kwao! Hawa wakubwa Taifa stars ni utata mtupu.
 
Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Hongera sana madogo japo mlienda huko kimaskini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…