Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali hawajatuaibisha kama MikiaSerengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Baada ya miaka mitano 90%watakuwa wamepoteana wengine wamestaafu soka
Safiiiii.Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Hongera sana madogo japo mlienda huko kimaskini sanaSerengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
Hongera sana madogo japo mlienda huko kimaskini sana