Serengeti Boys yatakata, yainyuka India 3-1

Nina wasiwasi ninyi mnaopinga umri wa vijana hawa mnaishi kwa kukariri. Vijana wadogo huwa wanajulikana hata kwa kuwaangalia tu usoni na aina ya mpira wao.

Halafu hawa wamechukuliwa na kulelewa tangu wakiwa under 15 na pia walipimwa hsptl. Sijui kama mlikuwa mnafuatilia

At least siku mojamoja muwe mnakuwa positive kama kuna kitu kimefanyika vzr au kina mwelekeo wa kufanyika vzr
 
Kama
Kwa bahati mbaya wewe sio mfatiliaji mpira..kwa taarifa yako hawa madogo wote walienda muhimbili kuchukuliwa vipimo(kipimo cha MRI )kama sijakosea...tatizo bongo ujuaji mwingi.!!
RITA ilitoa vyeti viwili vya Kuzaliwa kwa Sitti Mtemvu, itakuwa wao? Kama hao Mhimbili ndio wanafanya Oparation ya Kichwa badala ya Goti sishangai sn kwa ww kuabudu maajabu!!!
 
Kama

RITA ilitoa vyeti viwili vya Kuzaliwa kwa Sitti Mtemvu, itakuwa wao? Kama hao Mhimbili ndio wanafanya Oparation ya Kichwa badala ya Goti sishangai sn kwa ww kuabudu maajabu!!!


Historia haitoshi. Kama wewe una ushahidi kuwa hawa sio U17 toa otherwise kuwa mpole tu.
 
INDIA NAO WANACHEZAGA MPIRA???

tunahamu na kiu kali sana ya kusifiwa
 
Wala tambuu na pili pili ni wataalamu WA cricket na kabadi(mchezo wa kusukumana). Soka wapi na wapi?
 
Nina imani sana na timu hii ya Taifa. Halafu ni vijana wadogo kweli kweli, so uwezekana wa kujifunza ni mkubwa sana

Tatizo je tutawatunza kwa mwendelezo mzuri?
hao wana miaka kati ya 20 na 25,watazame vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…