Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
well done Serengeti Boys 👊🔥Serengeti Boys wameandika historia kwa kutinga Fainali ya AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 za mchezo mkali uliochezwa usiku huu.
Hakika wanastaili pongezi nyingi sana. Hakika kocha Elieneza Nsanganzelu kazi kubwa umeifanya, vijana wanapiga mpira haswa na ni watulivu.
Sasa TFF vijana hawa wasipotee kabisa tunataka kuwaona kwenye AFCON 2027
Wanalazimishwa.. Utafanyaje mkuu? Hijawahi kukukuta ugeniniKuna shenzi moja litasema pongezi kwa mama, shenzi kabisa.
Kuna siku watalazimishwa wagonoke na watakubali.Wanalazimishwa.. Utafanyaje mkuu? Hijawahi kukukuta ugenini
Unafahamu mtutu?Kuna siku watalazimishwa wagonoke na watakubali.
Ngumu kumeza, wangekuja waarabu laini laini sio hawa mazombi wenzetuTanzania u17 vs senegal u 17