SERENGETI BOYS

SERENGETI BOYS

Binafsi nashukuru viongozi wa timu ya Serengeti boys pia wachezaji wake kwa utetezi wa nguvu juu ya Taifa letu.
PENDEKEZO

Nashauri serikali kuwekeza katika timu hii kwa nguvu zote na wasiruhusu wasajiliwe ktk vilabu vyetu vya ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia kuna mchezaji mmoja katika hii timu anatafutwa na "man u" kuna ukweli kweli.......
 
Mi nashangaa ikishaitwa taifa stars sijui nini huwa kinatokea.sababu tunacheza na mataifa yale yale ila tunawafunga.hawa watunzwee waje kuliwakilisha taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaja serengeti boys mashugamami visemi traila vinapwita
 
Mpira umeisha Tanzania 1-Uganda 3 so Uganda watakutana na Ethiopia kwenye final. Hongera yetu watanzania naipenda Tanzania
 
Back
Top Bottom