Serengeti breweries watoa ajira.

Serengeti breweries watoa ajira.

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
630
Reaction score
121
Wakuu,

polen kwa majukum
sina uhakika sana ila kuna tetesi kuwa serengeti breweries wana program ya kununua mtama kama mal ghafi ya bia na aina ya mtama unaotumika ni pamoja na;
1. PROSO MILLET ambayo inajumuisha
-yellow hog
-white hog na
- hog millet
2. FINGER MILLET
lakin pia wananunua WHITE SORGHUM na inasemekana kuwa mpango huu upo hot.

Sasa kama nilivyotangulia kusema hapo juu kuwa sina uhakika naomba tujuzane hilo kutoka kwa wadau wenye taarifa za kutosha na rasmi.

Msaada wakuu.
 
Mtu kabla hajafungua anajua ni kauli taarifa kumbe ndani ni ya kuuliza...kwenye uandishi tanguliza tetesi kisha wenye uelewa zaidi watakujulisha zaidi...
 
hii fursa ni kwa mikoa ya kanda ya ziwa

mkuu BUJIBUJI bila shaka kuna cha zaidi unachokifahamu,tiririka mkuu tuchangamkie fursa.
Umesema kuwa fursa ni kwa kanda ya ziwa kwani utaratibu ukoje na vipi mpango mzima wa soko?
Na vipi kwa mikoa mingine hakuna uwezekano wa kulima na kulifuata soko?
 
duh hii safi sana maana inaongeza idadi ya fulsa za kulima, yaani tunapata mazao mengi ya kulima tena yanayohitaji mvua chache (mtama, alizeti, ufuta).
 
Na ndio maana nikaona niilete hapa mkuu ISUTO ili wakuu wanaojua zaid watujuze tuchangamkie fursa kwan sitaki kuamin kuwa hata mtama utatushinda.

duh hii safi sana maana inaongeza idadi ya fulsa za kulima, yaani tunapata mazao mengi ya kulima tena yanayohitaji mvua chache (mtama, alizeti, ufuta).
 
Back
Top Bottom