Serengeti Lager kubwa inafoka

Serengeti Lager kubwa inafoka

Joined
Oct 14, 2013
Posts
93
Reaction score
62
Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya.

Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi.

Au ndo maana bia za Tanzania ni cheap ni vile hazina ubora ukilinganisha nakenyKenya?
 
We IAN DIALO wa east africa radio acha mbwembwe basi hizi tarehe za salary mnatutambia sana, utaisha tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya.

Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi.

Au ndo maana bia za Tanzania ni cheap ni vile hazina ubora ukilinganisha nakenyKenya?
Serengeti unazouziwa wewe tu ndio zinafoka?
 
Hii niliona juzi nikiwa Singida kuangalia expire date ipo sawa nafikiri kutakuwa na kitu kwenye hiyo branda.
Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya.

Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi.

Au ndo maana bia za Tanzania ni cheap ni vile hazina ubora ukilinganisha nakenyKenya?
Ukiacha Tasker ambayo inashabiana na Kilimanjaro lager bia za kenya brand zilizo baki hakuna kitu sijui, Sammit, Pleasner hamina kitu
 
Back
Top Bottom