Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

Simpson wametabiri nyie mlio chomwa hiyo chanjo ya Corona kwa baadae mtageuka kuwa mazombie, kisha baadae muanze kuwamaliza wasio kuwa na chanjo. Hii dunia ina mambo mengi ya siri, Mungu atujaalie mwisho mwema.
Ina niuma sana mimi kama mtanzania niliyepiga chanjo ya corona ,kuona nyie ambao hamjapiga mpo hai
 
Simpson wametabiri nyie mlio chomwa hiyo chanjo ya Corona kwa baadae mtageuka kuwa mazombie, kisha baadae muanze kuwamaliza wasio kuwa na chanjo. Hii dunia ina mambo mengi ya siri, Mungu atujaalie mwisho mwema.
Kaka mimi hata hivyo nina hasira na nyie sijui nishaanza kugeuka
 
Yaani nakunywa bia huku nina hasira sana. Lebel mbaya sana aisee
 
Sio logo tu hata ile serengeti lager ladha yake naona kama imebadilika dizaini kama bia imezimuliwa na maji vile
 
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.

Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
Mm sina shida na logo, zimebadilishwa ladha, mfano ile serengeti lite landha ni tofauti. Kama diamond kawadanganya wakajaa, shauri yao. Mm naendelea kunywa zile za zamani zikiisha nahamia castle lite
 
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.

Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
Ni kweli kabisa imekuwa na muonekano mbaya sana. Label iliyopita ilikuwa nzuri sana. It was the best.
 
Uvumilivu umenishinda.
Leo nimeachana rasmi na Serengeti lager.
Nipo kwenye Charles Glass sasa
 
Attachments

  • PXL_20240608_181439936.jpg
    PXL_20240608_181439936.jpg
    1.6 MB · Views: 5
Back
Top Bottom