Polisi wala serikali hawanaga utamaduni wa kutoa ripoti kamili na credible. Fuatilia tume nyingi za kiuchunguzi zilizoundwa.Nimekuwa nikifuatilia hizi taarifa, naona cable na taarifa fupi fupi za kulaani polisi tu. Wengine mara washauri kufukuzwa kazi Waziri na IGP. Lakini hakuna taarufa kamili inayoonyesha mwanzo mwisho wa thkio. Sasa mnaotoa taarifa naomba mtusaidie:
1. Kwanza kabisa issue nzima hasa ni nini?
2. Polisi walipofika hatua ya kwanza kabisa walifanya nini?
3. Then watuhumiwa nao walifanya nini kujibu polisi?
4. Ilikuaje hadikufikia hivi vipande vya taarifa?
Kwa sasa, sijaona taarifa sahihi hivyo pia siwezi kuilaumu polisi. Kazi hizi wakati mwengine tunalaumu polisi bila kujua nature ya issue. Polisi wa Tanzania ni wakarimu mno ukiwa mtiifu. Ni tofauti kabisana baadhi ya nchi jirani. 🙏🙏🙏
PumbavuSasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????
Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.
Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.
Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
Dah,inamana wakamuua tena?Mbinu za kuvua baba na mtoto nguo? Bunduki ilipatikana? Kama ilipatikana kwa nini wamuue mtuhumiwa?
Kaka, raia wengi sana wasio na hatia huuawa na polisi kwa kisingizio cha ujambazi- kumbuka wafanyabiashara wa mahenge, iringa, arusha, na mtwara. Hili zoezi la kuua panda Road kiholela lisipofuatiliwa kiundani kujua profile ya wanaouawa- wenye hatia wengi watapotea mnooo
Labda nikuongezee nyama kwenye habari yako. Hii ni mbinu ambayo polisi huwa wanadanganywa kwamba Mkurya ukitaka atoe siri mvue nguo mlazimoshe alale na binti yake. Ni story ya muda mrefu lakini kwa Mtu ambaye hajatenda kosa hawezi kukubali. Sasa Mzee wa miaka 63 angekuwa na hiyo Bunduki si anheonyesha kuliko kudhalilishwa? Lakini polisi wetu bado wameondoka naye na kwenda kutunga Uongo wa kwamba alitaka kuwavamia na wenzake? Mzee wa miaka 63 hata seriakalini ameshastaafu miaka 3 iliyopita, ana nguvu gani za kuwavamia polisi na kuwanyang'anya silaha? Tukiwasema Polisi wetu ni genge la wauaji wewe huwa mtetezi wao. Ona walivhofanya jiweke wewe kwenye nafasi ya Mzee lazimishwa kulala na binti yako.
Halafu ikawaje? Ukiwa mjinga usijiingize uzuzuni.Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Sawa Afande, je mtu akifunguka si bado mtampiga kujua kama ni kweli au lah, au huko garage ni kwa kumlazimisha akubali asichokijuaHizo ni mbinu za kumlazimisha mtuhumiwa afunguke.
Mbongo bila kupelekwa garage akatundikwe juu chini hawezi toa ushirikiano. Wengine ni hadi utumie spoku na prize ndo wanakupa ushirikiano.
Ukishaingia 18 kama utaki mwili wako kuharibiwa au kupewa ulemavu toa ushirikiano, uone kama hata kovu utapata.
Utafute nini wakati info zote ushapata.Sawa Afande, je mtu akifunguka si bado mtampiga kujua kama ni kweli au lah, au huko garage ni kwa kumlazimisha akubali asichokijua
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na kwann hzi extra judicial killings safari hii ni kama zimeelekezwa kanda ya ziwa? Lengo ni nn?Mbinu za kuvua baba na mtoto nguo? Bunduki ilipatikana? Kama ilipatikana kwa nini wamuue mtuhumiwa?
Mbona umetoa maelezo kam vile imethibitika kwamba ilikuwa hivyo.Labda nikuongezee nyama kwenye habari yako. Hii ni mbinu ambayo polisi huwa wanadanganywa kwamba Mkurya ukitaka atoe siri mvue nguo mlazimoshe alale na binti yake. Ni story ya muda mrefu lakini kwa Mtu ambaye hajatenda kosa hawezi kukubali. Sasa Mzee wa miaka 63 angekuwa na hiyo Bunduki si anheonyesha kuliko kudhalilishwa? Lakini polisi wetu bado wameondoka naye na kwenda kutunga Uongo wa kwamba alitaka kuwavamia na wenzake? Mzee wa miaka 63 hata seriakalini ameshastaafu miaka 3 iliyopita, ana nguvu gani za kuwavamia polisi na kuwanyang'anya silaha? Tukiwasema Polisi wetu ni genge la wauaji wewe huwa mtetezi wao. Ona walivhofanya jiweke wewe kwenye nafasi ya Mzee lazimishwa kulala na binti yako.
Mpka inaleta hivi "view attachment" shida inakuwa ni nini??