Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

 
Rip
 
Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Lets say we ni jambazi kweli. Kwahiyo mbinu wakisema umfire mamako mzazi ili ufunguke na wamekushikia bunduki na mama mzazi hajafanya makosa ni mbinu sawa? Think.
 
Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi

Nimetamani nikutukane na mamako ila nitaliwa ban, hivi wewe police wakikulazimisha umdinye mamako utaweza?
 
Ukiangalia namna ya utekelezaji wa tukio hakuna tofauti na ule wa Mdude.

Hii nchi kupata ushahidi ni rahisi sana. Sema hakuna aliyetayari kutenda haki.
 
Nimetamani nikutukane na mamako ila nitaliwa ban, hivi wewe police wakikulazimisha umdinye mamako utaweza?
Sasa unadhani ukitukana mimi inanipunguzia nini labda? Au inampunguzia nini mama angu? 😂😂😂

Kua basi mdogo wangu, matusi hayatoshi kuonesha hisia zako ila yanatosha kuonesha ujinga wako. So nategemea utaandika maoni yako vizuri nikuelewe.
 
Tulia we kiuno nchi yoyote ile duniani watu kama hao hupitia mateso makali ili waseme wanashirikiana na kina nani na bunduki ziko wapi

Jambazi habembelezwi ili aseme ukweli
Ni kweli, kama trampo kule kwao wahamiaji anataka kuwalisha mamba, nini mateso kwa jambazi.
Majambazi Wametuondolea mzee wetu Mwana siasa Mzee Mvungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…