Serengeti: Watu wote wahudhuria Mkutano wa Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Wamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu

Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo

Zaidi vielelezo hivi hapa

Screenshot_20261004_193720_Instagram.jpg
Screenshot_20261004_193653_Instagram.jpg
Screenshot_20261004_193644_Instagram.jpg
Screenshot_20261004_193521_Instagram.jpg
Screenshot_20261004_193455_Instagram.jpg
Screenshot_20261004_193436_Instagram.jpg

Mungu Ibariki Chadema
 
Wamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu

Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo

Zaidi vielelezo hivi hapa

View attachment 3683751View attachment 3683752View attachment 3683753View attachment 3683754View attachment 3683755View attachment 3683756

Mungu Ibariki Chadema
Kwa muitikio huu majizi ya ccm hawatakubali katiba kwa Amani hata iweje. Ccm wanashindwa kuelewa nini kinaendelea, miaka ya nyuma walifanikiwa kuvimaliza vyama vyote vya upinzani kwa hila wanazoifanyia cdm sasa, cha ajabu kwa sasa imeshindikana dhidi ya cdm. Hiki chama kimekuwa na nguvu ya ajabu.
 
Hakika
 
Wamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu

Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo

Zaidi vielelezo hivi hapa

View attachment 3683751View attachment 3683752View attachment 3683753View attachment 3683754View attachment 3683755View attachment 3683756

Mungu Ibariki Chadema

Mikutano ya kuwaibia Wananchi kupitia tone tone iyo inaendelea
Licha Mwenyekiti kuwa Lupango !!!

Demokrasia ya Chadema Wanaijua wenyewe !!!
 
TL ameisadia sana Chadema ndani ya muda mfupi!CDM hivi sasa ina sura na muonekano wa kitaifa!Siyo cdm Kaskazini tena,ni cdm Tanzania inakua na kusambaa kwa kasi ya moto wa nyika.
 
Sasa kinachokuliza nini?
Amejitahidi sana kwa kuyaandika hayo maneno, kama unamjuwa sawia alivyo huyo mtu.
Hii ni dalili nzuri; kwani hata vichaa wanaanza taratibu kuuona ukweli halisi
Mikutano ya kuwaibia Wananchi kupitia tone tone iyo inaendelea
Licha Mwenyekiti kuwa Lupango !!!

Demokrasia ya Chadema Wanaijua wenyewe !!!
Ukiendelea kutumia ile dawa uliyopewa hii juzi, matatizo yako yote yatakwisha. Dalili ni nzuri.
 
Back
Top Bottom